Ilikuwa siku ya kupendeza kabisa kwa ndugu Mwisho Mwampamba na Mwanadada Merly kutoka Namibia kufunga pingu za maisha nikimaanisha ndoa na kuitwa mume na mke. Ndoa hii ilifungwa tarehe 10 mwezi huu wa 12 pande za Parliament Gardens Windhoek Namibia.
Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu pamoja na malezi mema ya mtoto wenu mliompa jina la Monkey.
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA PSPTB NA KUKAGUA UJENZI WA JENGO LA (EAC)
 Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, ,  Mheshimiwa
 Pireira Ame Silima (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya The  Procurement 
and Supplies Proffessionals and Technician Board (PSPTB),  Bw.  Noel 
Mrope baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa PSPTB kwenye kituo  cha 
kimataifa cah mikutano cha AICC mjini Arusha , December  14,2011.
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, ,  Mheshimiwa
 Pireira Ame Silima (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya The  Procurement 
and Supplies Proffessionals and Technician Board (PSPTB),  Bw.  Noel 
Mrope baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa PSPTB kwenye kituo  cha 
kimataifa cah mikutano cha AICC mjini Arusha , December  14,2011.J-LO AMUHONGA GARI MPENZI WAKE
Most women love to be wined and dined and spoiled with exotic gifts 
but are the tables turned in J. Lo’s new relationship?  It looks like 
her new 24 year old boy toy slash back up dancer Casper Smart has hit 
the jack pot as J. Lo recently gave him a brand new drop top Bentley to 
drive.   Even though he has had several run ins with the law in the past
 for drag racing and driving without a valid license, J. Lo hasn’t 
completely lost her marbles.  He’s only allowed to drive the car during 
their courtship (meaning when she decides he’s finished – she takes the 
car…and he’ll probably be without a paycheck too), however he gets to 
use the whip for personal use as well.

Damn, Christmas is coming early around these parts.  These young boys
 have Cougars losing their minds. I guess he was too good for a FIAT. 
Meanwhile, Marc Anthony can’t be taking this too well seeing as though 
they just split in July. At least there’s room in the back for the baby 
seats…
 
 


No comments:
Post a Comment