HAWA NDIO WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010.
Shindano  hili ltafanyika katika hotel ya Giraffe Ocean Vew hotel tarehe 24/12 2010 kwa kiingilio cha Tsh. 20,000/= viti vya kawaida na Tsh. 30,000/= kwa viti maalum. OFFER  ya punguzo la bei ya vyakula na vinywaji siku ya tukio! Tiketi zitaanza  kuuzwa jumatatu ya tarehe 20/12/2010 na zitpatikana  duka la nguo la Truworths (mlimani city),  Global publisher (bamaga), Giraffe  Ocean Vew hotel (Africana /  kunduchi) na stears (posta).
 
 

No comments:
Post a Comment