MSHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 CHRISTINA PETER AWA BALOZI WA MeTL…!!!
Mshiriki  namba 2 katika Shindano la Giraffe Unique Model 2010 Christina Peter  ambaye amechaguliwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) kuwa  balozi wa kampuni hiyo katika kushiriki maswala ya kijamii pamoja na  kutangaza bidhaa za Kampuni ya Mohemmed Enterprises kwa mwaka mmoja.
Kushoto  ni Mwakilishi kutoka kampuni ya Mohammed Enterprises Zainul Mzige mara  tu  baada ya kumkabidhi maua  kwa Balozi wa Kampuni ya MeTL  Christina  Peter
Balozi wa MeTL Christina Peter katika picha ya pamoja na wazazi wake Mr & Mrs Kitine.
Picha za Shindano la Giraffe Unique Model 2010 zinafuata kaa tayari.
 
 
No comments:
Post a Comment