WASHIRIKI WA SHINDANO LA GIRAFFE UNIQUE MODEL WATEMBELEA MLIMAN TV NA KUFANYA KIPINDI CHA MITINDO NA UREMBO NA MWANADADA SHIKiNA OTHMAN.
Hili  ndio gari kutoka Gioraffe ocean vew hotel ambalo washirki hulitumia  katika safari za hapa na pale mjini katika msimu wa Giraffe unique model 2010 (seasone one) ambapo fainali zake zitakuwa 24 desemba katika hoteli ya Giraffe ocean view
Hapa  washiriki wakiwa mlimani city ambapo walitembelea na kupata chakula cha mchana samakisamaki kabla ya kwenda mlimani  tv.
Sarari  ya kwenda mlimani tv ilianza......
Hatimae  wakafika eneo la  mlimani tv na make-up zikaanza...daaah!!
Kabla  ya kuanza kipindi washiriki walijipiga ma make up ya kutosha na kipindi  kikaanza kama ifuatavyo na mwanadada Shikinah.
Kipindi  kilirikodiwa dizaini hiyo na baadhi ya washiriki ambao walijitoa muhanga kujinadi kwaajili ya fainali 24 desemba hii.
Baada  ya kumaliza kurikodi kipindi watu walijiachia na kamera mapicha kadri watavo ndani ya eneo la mlimani tv.
SHUKRANI KWA MLIMANI TV KWA KUTUPA SAPOTI YA NGUVU TUNAHESHIMU SANA UEPO WENU KATIKA SHINDANO HILI LENYE MVUTO WA AINA YAKE 
 
 
No comments:
Post a Comment