Carina suleiman

Christina Peter

Bilkis Suleiman

Asia Dachi

Mariam Rabii

Caroline Mwakasaka

Dorah Mhando

Neema Silvery

Ritha Samuel

Diana Hamson
"WO BECOME UNIQUE MODEL OF THE YEAR 2010"?
HIVI NDIVYO VIFAA VITAKAVYOCHUANA  KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUPATIKANA KWA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010  LITAKALOFANYIKAKATIKA HOTELI YENYE HADHI YA NYOTA NNE YA GIRAFFE OCEAN  VIEW TAREHE 24 DESEMBA 2010.HOTELI HIYO  IPO KUNDUCHI,JIJINI DAR 
SHINDANO HILI LINAKUJA KWA UDHAMINI  MKUBWA WA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL,CHANNEL TEN,GLOBAL PUBLISHERS,ROBBIAC  PAINTS,ALI REHMTULLAH,MTAA KWA MTAA BLOG PAMOJA NA UNIQUE ENTERTZ BLOG.
 LEO  ni siku ya Uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika. Watanzania wote  wanaadhimisha uhuru wa Tanganyika kutimiza miaka 49 tangu wakoloni wa  Uingereza walipokabidhi hatamu za uongozi wa taifa hilo, ambalo sasa  linajulikana kama Tanzania Bara, kwa wananchi wenyewe, Desemba 9, 1961.   Maadhimisho ya siku hiyo yanawapa nafasi na changamoto kubwa Watanzania  za kutafakari walikotoka, walipo na wanakokwenda li kuona wapi  walikosea, kuteleza au kufanya vizuri, na kupanga mikakati ya kuondoa  kasoro na kuweka mipango madhubuti zaidi ya kuendelea kulijenga taifa  lao.

WADAU WA MAVAZI KARIBUNI KWENYE JUKWAA LA UNIQUE MODEL MJITANGAZE KATIKA HARAKATI HIZI ZA MAPINDUZI YA MITINDO TZ
wabunifu na wadau wa mavazi karibuni mjitangaze kwenye jukwaa la Giraffe unique model 2010 kwani itakuwa baabkubwa, ni bonge la show ambalo litakusanya wakali wa fashion hapa Tanzania.
 
Mduka ya nguo maarufu,wabunifu,wadau wa mitindo na bidhaa zote za mitindo karibu mjitangaze kwa kuonyesha bidhaa zenu kupitia mamodo unique siku ya show 24 Desemba katika hoteli ya Giraffe ocean view hotel kuanzia mida ya saa mbili usiku.
HAPPY INDEPENDENCE DAY!
 LEO  ni siku ya Uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika. Watanzania wote  wanaadhimisha uhuru wa Tanganyika kutimiza miaka 49 tangu wakoloni wa  Uingereza walipokabidhi hatamu za uongozi wa taifa hilo, ambalo sasa  linajulikana kama Tanzania Bara, kwa wananchi wenyewe, Desemba 9, 1961.   Maadhimisho ya siku hiyo yanawapa nafasi na changamoto kubwa Watanzania  za kutafakari walikotoka, walipo na wanakokwenda li kuona wapi  walikosea, kuteleza au kufanya vizuri, na kupanga mikakati ya kuondoa  kasoro na kuweka mipango madhubuti zaidi ya kuendelea kulijenga taifa  lao.
LEO  ni siku ya Uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika. Watanzania wote  wanaadhimisha uhuru wa Tanganyika kutimiza miaka 49 tangu wakoloni wa  Uingereza walipokabidhi hatamu za uongozi wa taifa hilo, ambalo sasa  linajulikana kama Tanzania Bara, kwa wananchi wenyewe, Desemba 9, 1961.   Maadhimisho ya siku hiyo yanawapa nafasi na changamoto kubwa Watanzania  za kutafakari walikotoka, walipo na wanakokwenda li kuona wapi  walikosea, kuteleza au kufanya vizuri, na kupanga mikakati ya kuondoa  kasoro na kuweka mipango madhubuti zaidi ya kuendelea kulijenga taifa  lao.WADAU WA MAVAZI KARIBUNI KWENYE JUKWAA LA UNIQUE MODEL MJITANGAZE KATIKA HARAKATI HIZI ZA MAPINDUZI YA MITINDO TZ
wabunifu na wadau wa mavazi karibuni mjitangaze kwenye jukwaa la Giraffe unique model 2010 kwani itakuwa baabkubwa, ni bonge la show ambalo litakusanya wakali wa fashion hapa Tanzania.
Mduka ya nguo maarufu,wabunifu,wadau wa mitindo na bidhaa zote za mitindo karibu mjitangaze kwa kuonyesha bidhaa zenu kupitia mamodo unique siku ya show 24 Desemba katika hoteli ya Giraffe ocean view hotel kuanzia mida ya saa mbili usiku.
 
No comments:
Post a Comment