Nembo mpya ya miss Tanzania
                                       Mkurugenzi wa miss Tanzania Hashimu Lundenga kushoto akiteta jambo na wadau
                                Jaqueline chuwa mwaandaji wa Miss kilimanjaro(kulia) akiwa ameweka pozi a grasi.                                      Miss TANZANIA anayeshikiria taji  MPANGALA
        Mkurugenzi wa MISS TANZANIA LUNDENGA akizungumza wakati wa uzinduzi wa  miss TANZANIA nyuma yake akiwa na baadhi ya warembo waliowahi kutwaa  taji la miss TANZANIA
MADEREVA UBUNGO WAZUA KIZAZAA
   Madereva asuhi ya leo waligoma ikiwa ni kuazimisha siku ya wafanyakazi kwa staili ya kudai haki zao ambapo safari zote zilisitishwa mpaka mida ya saa saba ndiyo baadhi ya magari yakaanza kutoka.Kiongozi wa Libya, Kanali  Gaddafi, ametoa wito kwa Nato kwamba kufanywe mazungumzo ili kusimamisha  mashambulio ya ndege za umoja huo dhidi ya nchi yake.
Katika hotuba iliyotangazwa kwenye televisheni,  Kanali Gaddafi alisema yeye yuko tayari kusimamisha mapigano ikiwa  itakubaliwa na pande zote.Lakini alikataa lile dai kubwa la wapiganaji na jumuiya ya kimataifa, kwamba yeye aondoke.
Alisema hatong'atuka wala kuihama Libya.
Wengi serikalini wanaona kuwa wameshakaribisha mazungumzo kwa kukubali mpago wa Umoja wa Afrika wa kurejesha amani; lakini wanahisi upinzani ndio hautaki kumaliza mapigano, kwa sababu unakataa kuzungumza na serikali ya Kanali Gaddafi.
Alipokuwa Kanali Gaddafi anazungumza, NATO ilidondosha makombora matatu mjini Tripoli, kwenye yale yaliyoonekana kama majengo ya serikali.
Hotuba ya Kanali Gaddafi, ilikuwa mchanganyiko wa kukaza na kulegeza kamba.
Alisema kila mwananchi wa Libya sasa anakabili mambo mawili : uhuru ama kifo.
Hakuna kusalliam amri, hakuna hofu wala kuondoka.
DVD YA SUPER D BOXING COACH KUPATIKANA KIURAISI
Diamond Reveals Why She Left Lil Scrappy for Soulja Boy!
This is a lesson to be learned for all of you dudes out there that show jealousy toward your girlfriends. Diamond recently implied in an interview that the reason that she left rapper Lil Scrappy for Soulja Boy was because Scrappy always tried to compete with her.
   The implication came about when she revealed that the reason she was  attracted to Soulja was because he always taught her.  Shortly after  saying this she made a quick comment about certain dudes not wanting to  teach you anything and only want to compete.  Below is her exact quote  from the interview:
  “He’s always been real sweet . . . He’s very very smart,  very intelligent.  I learn a lot from him and that’s what I look for  when I date a guy.  I like to learn.  Teach me.  Sometimes guys may not  want to teach you, they want to compete.
 
 

No comments:
Post a Comment