Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, April 6, 2011

MAJAMBAZI YA KIKULYA YAVAMIA SENGEREMA YAKATA MAPANGA WATU KAMA MCHICHA

http://ondareal.com/wp-content/uploads/2011/04/knifeblood098.png
        Wimbi la majambazi kushambulia raia kwa mapanga wilani sengerema limezidi kupamba moto baada ya mwalimu mmoja kukatwa mapanga na majambazi hao usiku wa kuamkia jana.
       Tabia hii imekithiri kwani raia wengi wanauwawa na majambazi hayo yenye asili ya kikulya yaliovamia wilaya hiyo kwa kupola watu ovyo na kukata watu mapanga huku jeshi la polisi likisuasua kudhibiti hali hiyo.


MISS KILIMANJARO 2011 YAANZA MATAMBO
     Shinandano la kumsaka myange wa wa kilimanjaro 2011 linategemewa kuanza hivi karibuni baada ya waandaji wa shindano hilo kudai kuwa sehemu kubwa ya maandalizi imeanza kukamilika ikiwa na pamoja kuwakusanya warembo kutoka sehemu mbalimbali kwaajili ya mazoezi(catwalk).

     Msemaji wa shindano hilo Bw.Methuselah Magese amesema kuwa yeye na mundaji mkuu wa shindano hilo Jaquekline chuwa tayari wako katika mchakato mnene kuhakikisha miss Tanzania wa mwaka huu banatokea mkoani Kilimanjaro.

     Shindano la miss Kilimanjaro litafanyika june 11 juni katika hoteli nya Salsanero iliyoko shant town mjini moshi ambapo mchekeshaji masanja toka kundi la the comedi atakuwa ndiye mc wa siku hiyo wakati msanii 20% na wengine wengi wataburudisha vyakutosha.

      Miss kilimanjaro 2011 imedhaminiwa na Vodacom,redds,Africa sana pub,rafiki min super market,Excutive solution,Bamm solution na www.uniqueentertz.blogspot.com.

        "Tunawaomba warembo wanaojiamini kuwa wao ni warembo na wenye ari ya kuwa vinara wa sanaa ya urembo wajitokeze kuwania taji hilo ambalo litakuwa na ushabiki wa aina yake kwani tunategemea kutoa warembo bomba ambao watatoa changamoto kwa vitongoji na kanda zingine" alisema magese.


YANGA YAIBAMIZA AFRICA LYON 3-I BILA  YA HURUMA 
Kikosi cha yanga kilichoitoa jasho Africa lyon leo uwanja wa uhuru.



Watatu wa Kenya wafikishwa ICC

Washukiwa watatu wa ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007 wamefikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa mjini The Hague.
Ruto
William Ruto na Joshua Sang wakiwa The Hague
Mawaziri wawili wa zamani na mtangazaji mmoja waredio, ambaye kwa wakati huo alikuwa akimuunga mkono Waziri Mkuu wa sasa Raila Odinga, wanakabiliwa na mashitaka dhidi ya ubinaadam.
Wengine watatu waliokuwa wakimuunga mkono Rais Mwai Kibaki - akiwemo naibu Waziri Mkuu - watafikishwa mahakamani siku ya Ijumaa.
Zaidi ya watu 1,000 waliuawa katika ghasia za Kenya mwaka 2007 na 2008.
Kenya
Ghasia za Kenya
Watu wengine wapatao 500,000 walikimbia makazi yao.
Ghasia zilizuka baada ya wafuasi wa Rais Mwai Kibaki kutuhumiwa kujaribu kuvuruga uchaguzi wa urais.
Ghasia hizo zilimalizika wakati Bw Kibaki na hasimu wake Raila Odinga kukubaliana kugawana madaraka, huku Raila Odinga akiwa Waziri Mkuu.
Raila
Rais Kibaki na Waziri Mkuu Odinga
Kenya iliiomba mahakama ya ICC kushughulikia kesi hiyo, lakini sasa inasema inaweza kuchunguza na kushitaki kesi hizo yenyewe.
Waziri wa zamani wa Elimu ya juu Wiliam Ruto, waziri wa zamani wa Viwanda Henry Kosgey na mtangazaji wa redio Joshua Arap Sang walifika mahakamani kwa ajili ya hatua ya awali za kusomewa mashitaka yanayojumuisha mauaji, kuhamisha watu na utesaji.
Uhuru
Uhuru Kenyatta
Siku ya Ijumaa, Uhuru Kenyatta - ambaye ni naibu waziri mkuu na mtoto wa rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta - anatarajiwa kufika mbele ya mahakama hiyo, pamoja na Mkuu wa Utumishi wa Umma Francis Muthaura na mkuu wa zamani wa polisi Hussein Ali, kukabiliana na mashitaka ya mauaji, kuhamisha watu, utesaji na ubakaji. Washukiwa wote sita wamekanusha kuhusika na ghasia na wanasema wako tayari kukabiliana na mkono wa sheria.
Wabunge wengi kutoka Kenya wanatarajiwa kuwepo mjini The Hague kuunga mkono wahsukiwa hao sita, anasema mwandishi wa BBC wa masuala ya dunia, Peter Biles.
ICC inadai kuwa njama za kihalifu zilipangwa katika eneo la Bonde la Ufa kwa wafuasi wa Rais Mwai Kibaki kushambuliwa baada ya uchaguzi.
Mwendesha mashitaka wa ICC Luis Moreno Ocampo anasema kwa kulipiza kisasi, polisi walipewa ruhusa kutumia nguvu kupita kiasi na pia kutumia magenge kushambulia raia.
Ocampo
Luis Moreno Ocampo
Ghasia hizo nusura zisababishe mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, huku mivutano ya muda mrefu ya kikabila na kiuchumi ikilipuka kutokana na mivutano ya kisiasa.
Tukio moja kubwa lilikuwa kuchomwa moto kwa kanisa ambalo watu wapatao 100 walikimbilia kujificha, na kusababisha vifo vingi.
Ghasia hizi zilimalizika baada ya katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan kufanikisha mazungumzo ya amani kati ya wagombea urais wa Kenya. Katika mpango huo wa amani, iliafikiwa kuwa waliochochea ghasia hizo wafikishwe mahakamani, ama Kenya, au katika mahakama ya ICC iliyopo The Hague.
Shirika la kutetea haki za binaadam, Human Right Watch limesema kufikishwa mahakamani kwa washukiwa hao sita, ni jambo muhimu kupima ushirikiano wa Kenya na mahakama ya ICC.



BODI YA FILAMU TUF1...TUF!  YATUPIWA VILAGO NJE
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza operesheni ya kuwatimua katika nyumba zake wadaiwa sugu kwa kuitupia virago Bodi ya Filamu ya Taifa.

NHC iliendesha operesheni hiyo jana katika Mkoa (wa kiofisi) wa Ilala, Dar es Saalam kwa wakusanyaji wake wa madeni kupita nyumba hadi nyumba kwa wadaiwa sugu safari iliyowafikisha katika Bodi hiyo iliyo chini ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambayo ofisi zake zipo Makutano ya Barabara ya Morogoro na Mtaa wa Indira Ghandhi kitalu namba 112.

Meneja Ukusanyaji wa Madeni wa (NHC), Japhet Mwanasenga alisema Bodi ya Filamu imeshindwa kulipa deni linalofikia Sh10.6 milioni ambazo ni kodi ya pango kwa muda wa miezi 21.
Maofisa wa NHC wakiwa na kampuni ya udalali ya Kimbembe Auction Mart, waliwasili katika ofisi hizo majira ya saa nne asubuhi na kuanza kutoa vyombo vya Bodi hiyo nje licha ya kukabiliwa na upinzani kutoka kwa watendaji wa ofisi hiyo.

Upinzani wa kwanza ulitoka kwa mmoja wa watendaji wa Bodi hiyo aliyekuwa ofisini ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake, ambaye aliwataka maofisa wa NHC kusubiri kauli ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu suala hilo.

Mwanasenga alipinga agizo la ofisa akisema shirika lake lilishatoa notisi ya miezi mitatu, lakini bodi hiyo haikuchukua hatua zozote hata kujitetea kama notisi ilivyotoa nafasi hivyo kuwataka madalali kuendelea na kazi ya kutoa vyombo nje ya jengo hilo huku akisisitiza kuwa muda huo haukuwa wa mazungumzo tena.

Wakati madalali hao wakiendelea na kazi hiyo, ofisa mwingine anayeaminika kuwa ni wa Bodi hiyo alifika na kuwataka wamwonyeshe kiongozi wa msafara huo. Alichukua hatua hiyo baada ya kuzungumza kwa simu yake ya mkononi na watu ambao walibainika kuwa ni wa wizara husika.


GENERA TYRE  IMECHAKACHULIWA-LEMA

    Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya  chadema G.Lema amesema leo katika kutano nwa tatu kikao cha pili wakati akichangia kuwa Genenal ishapewa fedha za kuifufua lakini fedha hizo hazijulikani zilipokwenda.

   Aidha Bw, Lema alisema moja ya viongozi wa juu wa General alitumia mamilioni ya shilingi kuwaalika nduguze toka nje ya nchi kula malaha mbugani wakati kiwanda kinasuasua.

 

SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA YARINDIMA VIWANJANI VYA LIDAZ CLUB SIKU YA LEO.

Wakiongozwa na jeshi la Polisi nchini wanachama wa vilabu mbalimbali jijini Dar es salaam hii leo wameandama hadi viwanja vya Leaders Club kwaajili ya ufunguzi wa Tamasha la Fiesta 2011 kupitia soka ambapo wanachama hao waliunda timu zao ambazo zimetengenezewa ligi ya soka inayoendelea sasa viwanjani hapo. Taarifa zaidi sikiliza Clouds FM time hii vipute vikiendelea.


 COLONEL AWEKA WAZI KUHUSU USALITI WA MARYA DHIDI YAKE

      Artist Colonel Mustapha amefunguka kusema kuwa alishtukia kuhusu ukaribu wa Marya na Shaffie,tangu November mwaka jana kwenye live concert pande za KICC,na kusema kuwa inauma sana kuona watu uliyowaamini sana then wanakusaliti,tena shaffie alikua kama kaka yake ambapo alikua akipata tatizo anamuomba ushauri

 Artiast Marya amefunguka kuwa,hapaswi kulaumiwa coz alitemana na Colonel Mustafa na alikua huru na alihitaji mtu wa kumfariji na shaffie alikua kwa ajili yake na alikiri kuwa walikua na mahusiano ya muda mrefu ila wameshindwa kuficha hisia zao za mapenzi na wadau wanasema ni bora wafaute nyayo za Nameless na Wahu,naye Colonel Mustapha alitoa kali kudai kuwa hajutii kutokua na Marya tena,na hata kama akialikwa kwenye harusi atahudhuria kama kawa 
 

Majeshi yavamia kasri ya Gbagbo

Majeshi yanayompinga kiongozi aliyekataa kuondoka madadarakani Laurent Gbagbo, wamefanya shambulio la mwisho katika kasri ya rais ambapo amejificha.
Gbagbo
Laurent Gbagbo
Bw Gbagbo amekuwa katika mazungumzo na Umoja wa Mataifa kuhusu mipango ya kuondoka kwake, baada ya kuzungukwa na majeshi yanayomtii hasimu wake Alassane Ouattara.
Chanzo kutoka serikali ya Ufaransa kimesema milio ya risasi ilisikika nyumbani kwa Bw Gbagbo mjini Abidjan.
Bw Gbagbo anasisitiza kuwa alishinda uchaguzi wa mwezi Novemba.
Gbagbo
Kifaru kikiungua Abidjan
Lakini tume ya uchaguzi wa Ivory Coast ilimtangaza Bw Ouattara kuwa mshindi, matokeo ambayo yaliungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
Bw Gbagbo na familia yake wanaaminika kuwa wamejificha katika handaki ndani ya kasri ya rais, ambayo ilikuwa ikidhibitiwa na majeshi yake.
Siku mbili za mapigano zilimalizika siku ya Jumanne na majadiliano na Bw Gbagbo yaliendelea hadi usiku wa manane.
Lakini siku ya Jumatano asubuhi ilionekana majeshi ya Ouattara yalishindwa kuvumilia.
"Tutamtoa Laurent Gbagbo kutoka mafochoni na kumkabidhi kwa rais wa Jamhuri" amesema Sidiki Konate, msemaji wa waziri mkuu wa Bw Ouattara, Guillaume Soro.

WEMA ALEWA PENZI LA MBANA PUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjc8mXG38j4V0WrYuuWvZqP-0Fdmq_ARYzc1IjhU79JJ8vaFC2Y7xeVwlcBARTYKf2FdcKX_Pg0dplbHJW7Z23DYwWNPdG_BardRD4jtAF-ntCHompCXNgrPColoy6G_MYFPw2S6c1REVGm/s1600/wemaaa.jpg
wema akipata fundo kadha za mate(denda) toka kwa mpenzi wake diamond.Inadaiwa alifumwa pande za club maarufu jijiini Dar.

JAMROCK For JAPAN With Mr. Vegas In NYC!

Japan_mr_vegas_jamrock.jpgWe have all been moved by the human catastrophe that has visited the country of Japan in recent weeks. Needless to say, the initial earthquake followed by the threat of deadly radiation have exacted an unbearable and miserable toll on the Japanese people. Even though we are miles away from the epicenter of the Japanese earthquake, and the eminent threat of radiation, the palpable suffering of the Japanese people reverberates world wide. We here at LinkUp Media Group of Companies feel duty-bound to assist the people of Japan. So, we have planned a charitable fund raising concert, dubbed "JAMROCK FOR JAPAN." This is our way of letting the Japanese people, and by extension the world, know that we stand together in time of distress, and we recognize that there is this common thread of humanity that binds us together as a people, whether we are right here in the United States or as far away as Japan. Let's come out and support this cause, it is our way helping our fellow human beings who are suffering in Japan.
JAMROCK FOR JAPAN will be held on Monday, April 18th, 2011 at SOBs, located at 204 Varick Street, New York NY. Doors will open promptly at 7pm. This charitable event will be hosted by 93.5 FM LinkUp Radio Broadcaster and Publisher of JAMROCK Magazine, David "Squeeze" Annakie.


KELLY ROWLAND LOOKING GREAT !!!

          With a figure as toned and healthy as hers, Kelly Rowland obviously feels no need to cover up.
The singer showed off her athletic shape as she sunbathed in Miami yesterday, wearing an eye-catching lime green bikini.
        Teamed with a pair of sunglasses and a fedora she looked perfectly relaxed as she enjoyed herself with a group of friends.


SIMBA YAPONEA CHUPUCHUPU KUAZILIKA


 Vibonde wa Tp mazembe Simba S.C wamezidi kuuweka rehani ubingwa wao baada ya leo kutoka sare ya 1-1 na JKT Ruvu mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhur.
   Simba imefikisha pointi 46 na mechi moja mkononi, hivyo kuuweka ubingwa wake rehani kwa Yanga yenye pointi 43 na mechi mbili mkononi, ambapo kesho inashuka dimba la Uhuru kuumana na African Lyon. 


WEE!....Unaskiza niniiiii.....eehhh!!  siutamuuma mwenzio sasa
 Ahaa kumbe za siku hizi zina redio .....duu 

LIL WAYNES NEW BABY MOMS? OR CHRIS BROWN'S NEW PUNCHING BAG?
OK. Both of those jokes were uncalled for. Nevertheless, I said it. Don't get mad, kill me. Seriously, both Lil Wayne and Chris Brown are vying for some quality time with this:



Skylar Diggins plays for Notre Dame’s women’s basketball team and she can dunk! But, she's been the object of both artist's desire recently. For example, Notre Dame made it to the Final Four, Wayne tweeted, “Good lukk to my wife Skylar Diggins and the Fighting Irish,” and Skylar replied, “Haha thanks Wayne! Mmmuah to my husband!” Then Breezy came in for sloppy seconds. He said, "Skylar Diggins … She’s a cutie @skydigg4 congrats beautiful." Skylar: "Awww thanks for the love Chris!"
image
Skylar Diggins

No comments: