Msanii
 kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar 
Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja 
vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Diamond Platnumz akitoa burudani
 Vanessa Mdee
 Dimpoz kwa pozi
 Ommy Dimpoz
 Mashabiki
 Banana
 Young Killa
 Waje kutoka NIgeria
 Mashabiki wakishangweka
 Victoria Kimani akiwajibika
 Rachel Kazini
 Shaa na steji shoo wake wakiwajibika

Ilikuwa ni shoo moja nzuri kutoka nyumba ya vipaji ya THT

Mmoja 
wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama 
ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha 
unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa
 kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika
 tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika 
viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.

Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 

Pichani
 kulia ni Msanii kutoka nchini Nigeria ajulikanae kwa jina la Kisanii 
Davido sambamba na Diamond Platnum kwa pamoja wakilishambulia jukwaa la 
fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo.

Msanii
 kutoka THT,Barnaba akiimba wimbo wake wa Wahalade sambamba na madansa 
wake kwenye jukwaa la fiesta 2014,katika viwanja vya Lidaz Kinondoni 
jijini Dar.
Sehemu
 ya  umati wa watu waliokuwa wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri kwenye 
jukwaa la Fiesta usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni
 jijini Dar.

Pichani msanii Linah (nyeupe) akiwa na skwadi lake mara baada kumaliza kulishambulia jukwaa kwa pamoja.

Anaitwa
 Ally kiba ambaye inaelezwa kutoka kwa mashabiki  kuwa alifanyo shoo 
nzuri na iliyowavutia,na kuthibitisha uwezo wake kuwa ni kweli amerejea 
kwenye kiti chake cha usanii.

  Msanii kutoka nchini Marekani Clifford Haris a.k.a T.I akilishambulia jukwaa la Fiesta vilivyo

 
 
No comments:
Post a Comment