Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoezi
Mkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James
 Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa 
maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya 
majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la 
"Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni 
jijini Dar es Salaam leo.
 
 






No comments:
Post a Comment