Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, May 7, 2011

EXCLUSIVE: IZZO BUSNESS AMCHANA MTOTO WA KIKWETE LIVE..!!

      Izzo busness
Msanii wa kizazi kipya nchini Izzo busness a.k.a bizness beibe amemdiss live Ridhiwani Kikwete katika mashairi ya wimbo wake mpya uliojaa maneno ya harakati nzito zisizo na woga dhidi ya kupata matatizo baadae.
        Izzo ambae alikuwa ajihojiwa na kituo kimoja cha redio leo jioni alisema kuwa haogopi chochote kuhusiana na mistari hiyo ambyo inamchana live Ridhiwani.
       Swagga za mchizi huyu pengine zikazua taflani flani kwani mbichi na kavu kazitenganisha.Ngoma hiyo inaitwa Riz-one ambapo ndani yake kakichana sana chama flani.


 CHELSEA YAANGUKIA PUA 2-1
Chelsea imelala 2-1 kichapo toka kwa man u mchezo uliopigwa leo



MARTIN KANDINDA AJIWEKA KINGONO ZAIDI
   Mbunifu na mdau wa matukio kadhaa hapa mjini Martin kadinda amejiachia kwenye photo na demu mmoja ambae jina lake halikupatikana kwa harakaharaka,picha hiyo inaonyesha martin akila denda a.k.a akidendeka  na mwadad ahuyo ambae inasemekana anatengua torati na demu huyo.


Ghasia za kidini zaibukaka Misri

Waziri Mkuu wa Misri, Essam Sharaf, amevunja safari ya kuzuru nchi za Ghuba baada ya ghasia kati ya Waislamu na Wakristo, zilizouwa watu kama sita.
      Hii ilikuwa ziara muhimu kwa Waziri Mkuu, katika nchi za Ghuba ambazo zingeweza kutoa msaada anaohitaji sana, na nchi ambazo piya zina wasi wasi juu ya mwelekeo wa mapinduzi ya Misri.
      Kwa kuvunja safari hiyo, Bwana Sharaf anaonesha anashughulishwa na ghasia nyengine zilizozuka baina ya makundi ya Waislamu na Wakristo.
        Safari hii ghasia zimetokea kwenye mtaa wa kati-kati ya Cairo, pale kundi la Waislamu wa madhehebu ya Sunni, wanaoitwa Salafi, ambao hawapendi mabadiliko, lilipozingira kanisa ambamo likiamini Wakristo walikuwa wakimzuwia mwanamke, ambaye akitaka kubadilisha dini na kuwa Muislamu.
         Risasi zilifyatuliwa, na kanisa na majengo mengine yalichomwa moto.
Ilichukua saa kadha kwa askari wa usalama kuzima mapigano.
Inafikiriwa kuwa Salafi ni wachache kati ya Waislamu, lakini wamekuwa na ghasia nyingi tangu Rais Hosni Mubarak kuondoka mwezi wa Februari.
        Tangu wakati huo, kumetokea mapambano kadha baina ya Wakristo na Waislamu, na Wakristo wengi, ambao ni asili mia 10 ya watu wa Misri, wanahofia usalama wao, endapo makundi ya Waislamu wasiopenda mabadiliko, ndio yatashinda katika uchaguzi wa mwezi Septemba.



JUMA FUNDI ADUNDWA NA NASIBU..!!
Nasibu Ramadhani (kushoto) akimpa masumbwi Juma Fundi wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa lililopigwa raundi 12 na Nasibu kuibuka kidedea na ushindi kwa point.




SEAN KINGSTONE AIDANGANYA DUNI TENA!!
sean_kingston_performing.jpgHARARE - Jamaican rapper Sean Kingston who already has a frosty relationship with ZimbabweanFacebook page that he threw $3 000 to people who attended his show at the Celebration Centre on Friday and at the Glamis arena on Saturday. journalists lied to the world on his
“I love my fans in Africa.I just threw $3 000 in the crowd - I love to give back man, best feeling ever,”Facebook page.
      However according to fans who attended both the Friday and Saturday shows nothing of that sort happened.
says his
    “I did not see any money. What the hell is the guy talking about. I can just tell you that the show was a boring performance, ” said Davis Takuneni, one of the fans who attended both shows.
Sean Kingstonn was in Zimbabwe last week..and...I like this guy, went to one of his shows once or twice,heck he's okay but well..I guess he was kind of a Disappointment in Zimbabwe...



AJARI YA NDEGE YAUWA WATU 25 INDOESIA

Authorities have announced that a regional transport aircraft from Indonesia crashed into the sea, in Papua province. 25 people have died.
The device, MA-60 type, Chinese manufacturing, “fell into the sea about 500 meters from the runway while it was in the landing stage” on Kaimana airport in a small town in West Papua, said ministerial official, Bambang Ervan.
The aircraft of the Indonesian Merpati Nusantara Company has “exploded” and disintegrated when reached the water, said Gunawan, a Navy officer in Papua.
All passengers have died” and “15 bodies were recovered from the water.” The others are probably in the wreckage of the aircraft, according to him.




DADA YBHOKE AKIJIACHIA NHUKO BIG BROTHER
Mambo katika jumba la BBA 6 yameanza kuchangamka ambako wana dada wawili wa Kitanzania ambao wote ni watangazaji wa vituo vya televisheni nchini wanawakilisha.



MARIAH CAREY AWAPA MAJINA WATOTO WAKE 
kipindi ana mimba
Mwanamuziki wa majuu mariah carey amewapa majina watoto wake aliozaa na mumewe nick cannon,mtoto wa kwanza kapewa jina laMorocea scott cannon na mwngine anakwenda kwa jina la mariyln monroe cannon.
Watoto hap walizaliwa jumapili ilyopita huko Los Angels,usa,



NYETI KUILIKO NYETI TULIZONAZO

punda mwenye rangi ya pinki hutumika kutangaza moja ya mgahawa mmoja huko mexico.

Hawa je wanatangaza nini?,PINK...




kTUZO ZA TASWA KATIKA PICHA JANA USIKU
Mgeni rasmi,Makmau wa Rais,Dr Gharib Bilal pamoja na Waziri wa Vijana,habari,utamaduni na michezo Mh.Emmanuel Nchimbi wakiwa katika picha ya pamoja na washindi waliojinyakulia zawadi mbalimbali usiku wa huu kwenye hafla ya tuzo za TASWA zilizothaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti.
Mgeni rasmi,Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal akimkabidhi tuzo kwa mchezaji wa jumla Bi.Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa netiboli katika timu ya JKT Mbweni.Mwanaidi ndiye alijijinyakulia gari aina ya Toyota GX 100,iliyotolewa na kampuni ya bia ya Serengeti ambao ndiyo waliokuwa wadhamini wakuu wa tuzo hizo za kumsaka mwanamichezo bora wa Mwaka zilizoratibiwa na TASWA,kusho ni Waziri wa Vijana,habari,utamaduni na michezo Mh.Emmanuel Nchimbi akishuhudia tukio hilo.


Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa,akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali mara baada ya kuipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal,Mh Mkapa amesisitiza kuwa uwanja huo unapaswa uendelee kutunzwa vyema ili nchi yetu iendelee kuwa na kumbukumbu na urithi kwa vizazi vijavyo.


Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa, akipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, chama cha waandishi wa habari za michezo (TASWA) kimempa mzee Kkapa tuzo hiyo maalum ya heshima, kutokana na mchango wake katika michezo hasa ujenzi wa uwanja mpya wa Taifa,Mh Mkapa amesisitiza uwanja huo uendelee kutunzwa vyema ili nchi yetu iendelee kuwa na kumbukumbu na urithi kwa vizazi vijavyo,pichani kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda. Katika utoajiwa tuzo hizo mchezaji wa jumla ni Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa Netball katika timu ya JKT
Mbweni.
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serengeti Breweries Ltd,Teddy Mapunda kwa kudhamini tuzo hizo za kuwapa heshima na kuwathamini wanamichezo wetu hapa nchini.Anaeshuhudia kwa nyuma ni Mgeni Rasmi,Makamu wa rais Dr Gharib Bilal.
Mwenyekiti wa bodi ya Serengeti (SBL),Mzee Marck Boman akimkabidhi tuzo mchezaji bora wa kiume wa timu ya Yanga Shadrack Nsajigwa.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serengeti Breweries Ltd,Teddy Mapunda akimkaboidhi tuzo yake ya mwanariadha bora wa kiume Marco Joseph,mbele ya wageni waalikwa waliofika usiku huu,ndani ya Movernpic jijini Dar.
Meza Kuu ikiwa imechangamka,hapa ilikuwa ikifurahia jambo kutoka jukwaani.
Wasanii wa kikundi cha THT wakiwatumbuiza wageni waalikwa usiku huu.
Wanakamati wakijitambulisha moja baada ya mwingine.
Mwenyekiti wa chama cha Michezo (TASWA),Juma Pinto akizunguma mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kushuhudia utoaji tuzo kwa wanamichezo mbalimbali akiwemo na mwanamichezo bora kwa ujumla usiku huu ndani ya hotel ya Movernpick,jijini Dar.

No comments: