Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, May 26, 2011

TUNDU LISSU APEWA KICHAPO..!!

Tundu Lissu akionyesha shati lake analodai kuchaniwa na polisi baada ya kumpa kichapo akiwa nje ya Mahakama ya Wilaya ya Tarime, baada ya kupata dhamana jana. Picha na Anthony MayungaMbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, na wenzake saba ambao juzi walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime na kusomewa mashtaka matatu ya kuingia eneo la hospitali bila kibali, kufanya mkutano na kuzuia watu kufanya kazi, wamepata dhamana lakini wamezuiwa kutembelea maeneo ya Nyamongo hadi kesi inayowakabili itakapokwisha.

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya hiyo, Yusto Roboroga alitoa uamuzi huo akisema ni kwa mujibu wa kifungu cha Sheria Namba 148 cha Makosa ya Jinai, kilichofanyiwa marekebisho mwaka 2002, ambacho kinatoa haki kwa watuhumiwa kupata dhamana. Alitoa uamuzi huo baada ya kupitia pingamizi lililowekwa na upande wa mashtaka kutaka wasipewe dhamana. Hata hivyo, alisema: “Washtakiwa wanazuiwa kutembelea maeneo ya Nyamongo mpaka kesi hiyo itakapokuwa imekwisha."

Hakimu Ruboroga alitaja masharti ya dhamana hiyo kuwa ni kusaini mkataba wa dhamana wa Sh5 milioni kwa wadhamini wawili wanaoaminika. Kwa wasio wakazi wa Tarime, alisema watatakiwa kupeleka mahakamani hati za mali isiyohamishika. Washtakiwa wote walikidhi masharti na kuachiwa kwa dhamana hadi Juni 26, mwaka huu kesi hiyo itakapotajwa tena.




STL KUSHUSHA NGOMA NA MAHOMBI

 STL aka Stella Mwangi kwa sasa yuko kwenye mikakati ya kuandaa album yake mpya itakayoitwa Kinanda
 STL alitoa single mpya ya kwanza toka kwenye album yake ya Kinada iitwayo Lookie Lookie na meneja wa STL,Charles amesema kuwa kwa sasa STL yuko kwenye harakati za kupiga collabo na msanii Mohombi,Taratibu zote zimefuatwa na wameshamtumia track na kuwajibu kuwa yuko tayari kufanya ngoma na STL
MOHOMBI NZASI MOUPONDO
Mohombi ni Mcongo anayeishi Sweden na yuko chini ya RedOne label ambayo pia iko chini ya Universal Music Group na mwaka 2010 alidondosha ngoma yake ya Bumpy Ride,iliyoshika top-tenkwenye chart nyingi duniani

 
 
 
 
SNOOP DOGGY ATOBOA UKWELI KUHUSU ALBUM YA DR.DREE

Rapper Snoop Dogg recently shed some light on why he believes that Dr. Dre’s ‘Detox’ album has seen so many lengthy delays.
During an interview with Tim Westwood, rapper Snoop Dogg gave some interesting insight on why he believes there’s been such a delay in releasing Dr. Dre’s Detox album. Snoop explained that the main problem is the type of environment Dre’s creating his music in.
“It’s a formula. Like I was trying to explain to you earlier when we made records in the past it was an environment, an atmosphere. It was always girls,” Snoop explained. “It was always parties. It was always the right atmosphere to create that kind of album that sounds like the albums that you’ve heard in the past. If there’s not that atmosphere you can’t create that kind of album. So that’s what’s happening right now. The songs don’t match the atmosphere and the atmosphere don’t match the songs.”
SnOOp went on to explain that due to his perfectionist side Dr. Dre is unlikely to release anything until he feels that it’s close to perfect.
“What we’re accustomed to hearing from Dr. Dre is the brand new, next best everything and from right now people not getting that. He knows that,” said Snoop. “So he’s a perfectionist and until he gets that he’s not gonna release it cause he doesn’t want the scrutiny of people saying ‘I waited this long for that?’ It’s like when I wait this long I better get that and that.”
Snoop also shed some light on the fact that Dr. Dre may not be surrounding himself with the right people when it comes to making his album. He also shared that he feels like he and D.O.C. need to be a part of Detox in order for it to work.
“I’mma say this and I don’t know if it’s gonna ruffle any feathers. I just think the wrong people is in the environment. When hemade records that were hit records in the past: D.O.C., Snoop Dogg, RBX, Kurupt,” said the rapper. “It’s like it’s pieces that’s not there that need to be there. And I’ll say D.O.C. and Snoop Dogg is the backbone. When you take those two equations and you take them out of the equation it’s not gonna work. You need to put them two back into the situation and let us mastermind and head the project like we did The Chronic in 2001. That’s what’s missing.”
 

No comments: