Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, May 30, 2011

BREAKING NEWS: SEAN KINGSTONE APATA AJALI MBAYA YUKO ICU..!!

0529_sean_kingston_exd_getty_5
Artist Kisean Anderson a.k.a Sean Kingston yuko mahututi baada ya kupata ajali pande za Miami Beach,alipokua anaendesha pikipiki za kwenye maji aka Jet Ski
Sean Kingston alijeruhiwa baada ya kugonga daraja linaloiunganisha Palm Island na MacArthur Causeway na alikimbizwa kwenye Jackson Memorial Hospital,kwa matibabu akiwa pamoja na mwanamke aliyekua naye wakati akiendesha pikipiki hiyo
Wasanii na fans wake wengi wamekua wakimtumia salamu za pole na kumuombea apate nafuu haraka kwenye mtandao wa Twitter.
Sean_kingston_jet_ski_crash_bike.jpgSean Kingston was involved in a Jet Ski accident Sunday, his rep confirmed to Us Weekly.
The 21-year-old singer was driving the watercraft that apparently crashed when it went under a small bridge at about 6 p.m., CNN reported. A female passenger on board was also injured.
By early Monday morning, Lauren Ceradini, Vice President of publicity at Epic Records, told CNN, "Sean is stabilized" and refuted online claims he was dead.
Hip-hop singer Trav visited Kingston in the hospital and told the site: "He is good in stable condition."
"[Sean] and his family thank everyone for the well wishes," his rep told Us.
Hip-hop star Sean Kingston is in critical condition in a Miami Beach hospital after being injured in a bad jet skiing accident Sunday evening ... TMZ has confirmed.
0529_sean_kingston_exd2_getty
According to Local10.com, the "Beautiful Girls" singer had a female passenger on board his watercraft when it crashed into a bridge (see below) around 6:00 PM local time. We're told both Kingston and his passenger were rescued from the water by a good Samaritan.
0530_sean_kingston_bridge_wsvn
The Miami Fire Dept. responded to the scene and both Kingston and his female passenger were transported to nearby Jackson Memorial Hospital. We're told Kingston's injuries are so severe, he is being treated in the trauma ward.









NEWS:Mr Vegas Donates Wheel Chair To Angella After She Was Shot & Crippled

Mr_vegas_wheel_chair_angella_green.jpg
Kingston Jamaica- PR Jamaica Entertainment: A gruesome act some 15 years ago have left 38 year-old Angella Green wheelchair bound. Recounting the incident to Mr. Vegas, Angella talked of how she was walking along London Avenue in Portmore on that unforgettable night, when she was pounced upon by a man brandishing a gun. The gun-toting man was soon joined by a taxi driver, and they both took her to some bushes in the Portmore community where she was raped.
After being raped she recall the gun-toting man telling her to run, and being scared and frightened from the encounter she began to run. Angella remembered being shot in the shoulder, the ribs, and then the spine, after which she fell to the ground. Her attacker then walked over to her and gave her one last shot to the head.
Evidence of her encounter is still quite clear some 15 years later. Angella Green is wheelchair bound, with a bullet still lodged in her head and the scars from the other bullets still tell a daunting tale.
However, Angella has yet to give up hope and from time to time several Good Samaritans still show compassion and kindness. The latest to do so was dancehall sing-jay Mr. Vegas.



 FFU WATUMIA MABOMU KUWATAWANYA WANAFUNZI IRINGA
Polisi wakiwaweka chini ya ulinzi wanafunzi eneo la Kitwiru nje kidogo ya na Manispaa ya ringa hapo ilikuwa ni kabla ya kuanza kupiga kurusha mabomu ya machozi.
 Mwanakijiji kushoto akiwa na mwandishi wa habari wa Radio wa Ebony Fm wakifuta machozi kutokana na mabomu yaliyopigwa na askari na hao kuwatawanya wanafunzi hao.
 Mwandishi wa habari wa Ebony FM akikimbia moshi wa mabomu ambayo yalikuwa yakipigwa na askari hao kutawanya wanafunzi hivi punde
Wanafunzi wa Sekondari ya Tosamaganga wakikimbia moshi wa mabomu yaliyokuwa yakipigwa na polisi.
Hapa wakikimbia porini kunusuru afya zao chini ya vifaa vya wanafunzi vilivyotelekezwa Hali ya usalama si shwari katika shule ya sekondari Tosamaganga wilaya ya Iringa mkoani Iringa hivi sasa wanafunzi zaidi ya 10000 wapo porini wakikimbizwa na polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia ambao wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi hao ambao walikuwa katika maandamano ya amani kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kuulalamikia uongozi wa shule hiyo.
Hadi hivi saa mabomu zaidi ya 10 ya machozi yamepigwa kuwatawanya wanafunzi hao ambao baadhi yao wanadaiwa kujeruhiwa kwa kuchomwa na miti wakati wakikimbia porini kukwepa mabomu hayo huku wananchi wa Mseke wakikimbia nyumba zao .




MAJAMBAZI WAPORA NG"OMBE NA KUWAUWEA MKE NA MUME
Watu wawili wakazi wakijiji cha Itununu wilayani Serengeti mme na mke wamekufa baada ya kuchinjwa kikatili na wauaji kupora ng’ombe 10 na kutokomea nao.Kamanda wa polisi mkoa wa Mara Robert Boaz amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo yaliyotekea majira ya saa 7:30 usiku wa kuamkia jumapili ya mei 29, ambapo kundi la watu wakiwa na marungu, mapanga na sime walivamia mji huo na kutekeleza unyama huo.
Amewataja waliokutwa na mauti hayo kuwa ni Marwa Kige(66) na Mgosi Kige(58) ambapo inatajwa kuwa kabla ya mauaji kufanyika wauaji waliwateka na kuwatoa nje ya mji kisha kuwachinja kama mbuzi na walipohakikisha kuwa wamekufa walipora mifugo na kutokomea kusikojulikana. “Wakati Majangili hayo yakiteleza unyama huo kulikuwa na mtoto ambaye aliwaona nae hakusita kusimulia kwa jeshi la polisi mkasa mzima jinsi ulivyotokea,” alisema kamanda.
Aidha Kamanda amebainisha kuwa katika ufuatiliaji unaoendelea watu wawili wamekamatwa ambao ni Chacha Magori(19) na Mwita Magori(19) wote wakazi wa kijiji cha Kitunguruma wilayani Serengeti ambao wamekutwa na ng’ombe 7 kati ya 10 walioporwa.





WAREMBNO MISS TABATA WATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA MIKUMI

Na Mwandishi Wetu, Mikumi
Warembo 22 watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Tabata 2011 jana waliondoka Dar es Salaam kwenda kutembelea mbuga za wanyama huko Mikumi.
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga alisema jana kuwa lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii wa ndani. engo la ziara hii ni kutangaza utalii wa ndani. Tunataka warembo wetu wajue wanyama na vivutio vingine vinavyopatikana kwenye mbuga zetu hasa Mikumi,” Kapinga alisema.
Alisema kuwa wakiwa Mikumi, warembo hao wapata fursa ya kuwajua tabia za wanyama na ndege wote waliyomo kwenye mbuga hiyo.
Miss Tabata imepangwa kufanyika Juni 10 katika ukumbi wa Da’ West Park .
Warembo waliyoondoka ni Marion Augustino (19), Neema Marwa (18), Catherine Julius (20), Lilian William (20), Godliver Mashamba (22) na Dorice Mutabingwa (21).
Wengine ni Sweetlily Suleiman (21), Maria John (21), Happyness Emmanuel (18), Cresensia Haule (20), Mariam Manyanya (21), Agustina Mshanga (20), Nasra Salim (21), Faiza Ally (19) na Edina Mnada (21).
Pia wamo Angela Fortunatus (21), Lucia Joseph (20), Lilian Brayson (22), Rita Mvungi (21) na Willieth Wilson (22).
Miss Tabata 2011 inadhaminiwa na Dodoma Wine, Vodacom, Redds Original, Integrated Communications, Paris Pub, Fabak Fashion, Freditto Entertainment, Chicken Hut, Travel Partners, Ben Expedition, Screen Masters, Sean Entertainment, Screen Masters, Michuzi blogspot na Anech Stationary.
Consolata Lukosi ndiye mrembo anayeshikilia taji la Miss Tabata.
Mrembo huyo alikuwa nambari tatu mwaka jana kwenye shindano la taifa (Miss Tanzania ) kabla ya kushinda taji la Redds Ambassador.
Mashindano hayo ya urembo yanaandaliwa na Bob Entertainment na Keen Arts.
PICHA YA LEO:
Waembo wakiwa wametupia swagga z mapozi flani hivi...!!

No comments: