warembo wakiwa katika pozi la kukaa
Warembo wa miss kilimanjaro wakiwa wamekaa kimtindo juu ya uzio wa miti
Warembo wa miss kilimanjaro wakiwa wamekaa kimtindo juu ya uzio wa miti
warembo wakiwa katika pozi la kusimamaMrembo akiwa katika swimming pool tayari kwa kupiga mbizi wakati wa mazoezi ya kuogelea
Ni miss kilimanjaro itakayofanyika june 18 katika hoteli hii ya salsanero iliyopo moshi mjini Mlimbwende akiwa amepiga pozi matata sana katika kiti cha bwawani.
JE UNAPENDA MPENZI WAKO AWE WA NAMNA HII?

Kila kijana anapenda kuwa na demu mkali katika maisha yake na kila demu hupenda kuwa na kijana mwenye fedha nyingi katika maisha yake ili matatizo ya kijamii yasimsumbue akili.
BHOKE ATUA BAADA YA KUTILILISHWA BBA
Elephant Man AKA The Energy Gad Caught Stealing Energy

The Energy Gad Elephant Man is now in a court battle Jamaica Public Service Company (JPS) after he was accused by the company for stealing electricity.
According to JPS the Elephant Man's regular estimated bills are always expected to be over 60,000 as most of the Energy Gad's electrical appliances are High Watts Usage.
Elephant Man's next court date will be on August 30th.
MASTAA WA FUTIBOLI NA MAPUMZIKO YA UFUKWENI NA WENZI WAO

Nae mkali wa England anayekipiga Manchester united Wayne Rooney katika kipindi hiki cha mapumziko yeye amekitumia kwa kutinga saluni kuotesha nywele katika para linalomnyemelea la kichwa chake.

Katika zoezi hilo la teknolojia ya kisasa Rooney(25) alipandikizwa maelfu ya nywele katika kichwa chake kilichokuwa na upara wa asili uliomfanya aonekane sawa na mzee wa miaka 65, madaktari wakieleza kuwa nywele hizo zitakuwa kama nywele za kawaida.

No comments:
Post a Comment