Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, June 5, 2011

WATUHUMIWA 8 WA MAUAJI YA OFISA WA SERIKARIWAFIKISHWA MAHAKAMANI

Watuhumiwa wa mauaji ya mwenyekiti wa halmashauri ya Rungwe wakipelekwa mahakamani chini ya ulinzi mkali
Watuhumiwa wakiwa mahakama ya wilaya ya Rungwe
Nnje ya mahakama ya wilaya Rungwe
Kofia risasi bunduki begi vilivyokamatwa na polisi
Magazini ikiwa imecheuwa silaa juu ya meza ya muheshimiwa
Bunduki aina ya SMG inayokisiwa kuwa ndiyo iliyotumika katika mauaji ya mwenyekiti wa mwenyekiti wa wilaya ya RUNGWE.




MBOWE ZITO KABWE WATIWA NGUVUNI NA POLISI
         Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),ambaye pia ni Kiongozi waz Kambi ya wapinzani Bungeni kadhalika ni Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro.Amekamatwa na Polisi kufuatia amri ya Mahakama kwa kosa la kutofika Mahakamani mara mbili katika muda uliopangwa na Mahakama.Kufuatia kitendo hicho uongozi wa CHADEMA umelaani vikali kitendo hicho huku ukisema huko ni kwamisha juhudi za Mbowe akiwa Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni pia Waziri Mkuu Kivuli Bungeni kwani, atakosa vikao muhimu vya Bunge la Bajeti.
      




RIHANNA AUWA MTU KIDEONI
rihanna_with_gun_man_down_jamaica.jpg
A day after the Parents Television Council and other groups decried the violent murder scene in her new "Man Down" video, Rihanna took to the air and to Twitter to defend her clip from detractors.
"I'm a 23 year old rock star with NO KIDS! What's up with everybody wantin me to be a parent? I'm just a girl, I can only be your/our voice!" she wrote on Thursday. "Cuz we all know how difficult/embarrassing it is to communicate touchy subject matters to anyone especially our parents! And this is why! ... Cuz we turn the other cheek! U can't hide your kids from society, or they'll never learn how to adapt! This is the REAL WORLD! ... The music industry isn't exactly Parents R Us! We have the freedom to make art, LET US! It's your job to make sure they don't turn out like US."
The PTC took issue with the opening scene in the video, in which Rihanna is shown shooting an unarmed man in the back of the head in the middle of a crowded train station. Viewers later learn that the act was in retaliation for a previous sexual assault.
The PTC, the Enough Is Enough campaign and the entertainment think tank Industry Ears released a statement on Wednesday condemning the video for what the group said was an apparent enticement to young women to turn to violence.
" 'Man Down' is an inexcusable, shock-only, shoot-and-kill theme song," said Industry Ears co-founder Paul Porter.
The PTC lamented that Rihanna had a "golden opportunity" to use her celebrity status to send an important message to young girls and victims of rape and domestic violence with the clip, but had missed the mark. "Instead of telling victims they should seek help, Rihanna released a music video that gives retaliation in the form of premeditated murder the imprimatur of acceptability," said the PTC's Melissa Henson.





LIVE LAP DANCE YA LIHANNA

Well, it looks like Rihanna’s out here showing folks how a real lap dance is suppose to go down. During her Baltimore tour stop, she chose a female out of the crowd and gave her a taste of that Rihanna reign for about 20 good seconds while performing ‘Skin’.
                                        Rihanna akiwa mzigoni

Take a look at her lap dance plus a sexual performance of S&M below:

No comments: