Rais wa zamani wa Zambia,Frederick Jacob Titus Chiluba,amefariki akiwa na umri wa miaka 68
Bwana Chiluba amekuwa na ugonjwa moyo kwa miaka kadha na aliiongoza Zambia kwa kwenye miaka ya 90, na baada ya kustaafu alishtakiwa kwa sababu ya rushwa.
Frederick Chiluba alipata urais wa Zambia November 2,1991 – January 2,2002 wakati Afrika inaanza kuingiia katika demokrasi ya vyama vingi,Kabla ya hapo alikuwa kiongozi wa wafanyakazi na baada ya kuondoka madarakani mrithi wake,Levy Mwanawasa, alimshtaki kwa shutuma za rushwa
Baada ya kesi ya miaka 6 kuhusu ubadhirifu wa mali ya taifa,,Frederick Chiluba aliambiwa hakuwa na makosa,Lakini katika kesi nyengine iliyofanywa katika mahakama makuu ya
London,Chiluba alikutikana na hatia ya kuiba mamilioni ya dola ya fedha za serikali ya Zambia,kwa kutumia akaunti kwenye mabenki ya London
AMBER ROSE ATAMBULISHA WIZ KHALIFA UKWENI....!!!
Uhusiano kati ya Amber Rose na Wiz Khalifa umefikia level ya hali ya juu, baada ya Amber Rose kumtambulisha Wiz kwa familia yake
Wiz Khalifa alikutana na Baba wa Amber Rose na wadogo zake walipokua back stage kwenye show na Amber Rose alitupia kwenye kwenye Twitter akifunguka kuwa “anamefurahi sana Wiz Khalifa kukutana na ndugu zake
Amber rose naye alikushakutana na Mama yake Wiz Khalifa aitwaye Sherry M. Thomaz mwanzoni mwa mwaka huu
No comments:
Post a Comment