
BECKHAM APATA MTOTO WA KIKE
Mke wa Mwanasoka David Beckham,Victoria amepata mtoto wa kike aka baby girl jana July 10,2011 akiwa ni mtoto wa 4 kwenye familia hiyo

Beckhama ameandika kwenye mtandao wa Facebook "wana furaha ya kutangaza ujio wa mtoto Harper Seven Beckham aliyezaliwa Los Angeles-Marekani'' na Harper Seven Beckham atakua na kaka zake watatu, Brooklyn (miaka 12), Romeo (miaka 8) naCruz (miaka 6) na jina la kati la Harper,Seven au 7 limetokana na baba yake kuvaa jezi no 7 wakati akiwa anaichezea timu ya Manchester United kabla ya kuiacha na kuhamia Real Madrid ya Spain.
TOP PICs OF A DAY

No comments:
Post a Comment