Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, July 8, 2011

NYETI KULIKO NYETI TULIZONAZO TOKA KIGAMBONI


Ujenzi wa kipande cha barabara ya kigamboni ukiendelea wakati huohuo majina ya wenye nyumba wanaotakiwa kufidiwa kutokana na ujenzi wa mji mpya yametoka ikiwa baadhi ya majina hayapo na mengine yamekosewa kuandikwa,haya ni malalamiko ya baadhi ya wakazi wa kigamboni.
Eneo hili la kiwanda cha kusafisha mafuta linadaiwa kuuzwa kitapeli na watu wasiojulikana kwa mwekezaji wa kigeni lakini baada ya mwekezaji huyo kujua alitapeliwa aliingia mitini.wachambuzi wa mabo wanadai kuwa kuna baadhi ya watu wazito walihusika




Alicia Keys na Swizz Beatz’s waoneka na mtoto wao Egypt

After Pink went off on the paparazzi the other week for stalking celebrity children, I almost was reluctant to post photos of Alicia Keys and Swizz Beatz son Egypt…especially if the photos were taken against the parents’ wishes. The couple was spotted out and about earlier today with their son, unshielded from the waiting cameras of the paparazzi. Alicia Keys didn’t seem to bothered by the paps as she had a huge smile on her face. Motherhood looks good on her and of course the baby is adorable.




BEYONCE KUTOKA TENA
Ndani ya video katika single mpya"Best things i never had'.




tYRESE NA MWANAE UFUKWENI
Opting out of the big parties for the 4th of July, ‘Transformers 3′ star Tyrese Gibson spent the day on the beach with his daughter, Shayla Iylana Gibson. Tyrese tweeted photos of his daddy/daughter day with almost 4-year-old Shayla, cuddling on the beach and playing in the water.



top pic of a day
Esther Baxter

No comments: