Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, July 3, 2011

REDDS MISS MOROGORO AWA ASHA SAREHE


 Asha Salehe (20) Ndie Mshindi wa taji la REDDS Miss Morogoro  2011  wakiwa kwenye  picha ya pamoja na mshindi wa pili,Ritha Kavishe ( 21) kulia na mshindi wa tatu, Sharifa Issa (19) baada ya kutangazwa kutwaa nafasi hizo na kuwashinda wenzao 12 ,shindano hili lilifanyika katika viwanja vya Hoteli ya Morogoro.
 
Wanyange wakiwa katika pozi kabla ya shindano,mwaka huu asie na mwana atabeba jiwe






MISS TEMEKE WATEMBELEA WADHAMINI
Meneja wa duka la Vodacom la Mlimani city Fatuma Kalyanye akiwaonyesha baadhi ya warembo wanaoshiriki katika kinyanganyiro cha miss Temeke baadhi ya bidhaa zinazouzwa katika duka hilo,Warembo wa kitongoji hicho walitembelea ofisi za Vodacom Tanzania kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na wadhamini wakuu wa shindano hilo,wengine kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akiongea na baadhi ya washiriki wa Miss Temeke 2011 walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali katika kampuni hiyo wakiwa ni wadhamini wakuu wa shindano la Miss Temeke 2011 litakalofanyika hivi karibuni.





Wladimir Klitschko AMDUNDA DAVID HAYE KWA POINTI

Wladimir Klitschko akishangilia ushindi baada ya kumdunda kwa point David Haye
Wladimir Klitschko akimtupia ngumi David Haye wakati wa mpambano wao
Wladimir Klitschko akimtupia ngumi David Haye wakati wa mpambano wao




CHRISS BEEZ KATUPIA KITU CHA BLUE

Chriss brown katika mbili na moja.




TOP PICS OF A DAY

Her name is Mizz dr,huyu demu ni msexy ile mbaya.





MITAA YA KATI MZEIYA..!!
Mtoto wa kitaa sule akiwapande za kino.
Superman Magese niko bar kinywaji kimekata pande za kino na mwanangu wa kitaa jumamosi iliyopita.
Swgga za superman,moja staili ya nywele nnayoizimia mwanzo mwisho nilipoingia katika salon moja pande za kino nikatupia mautundu haya then tukasepa na wanangu wa kitaa.

No comments: