Brand manager wa Redd's Victoria akiongea machache na warembo mbele ya vyombo habari leo mchana katika kiwanda cha TBL.
Bi Vicky akiwakaribisha warembo kiwandani hapo.
Warembo wakijiachia na misosi.
Vicky akiwapa mikono warembo.Mrembo Jennifer akiwa katika pozi.
Jennifer ni moja ya warembo wanaotoka vema katika picha(photogenic).Ziara ya warembo ilianza kiwandani hapo.
Ziara ilikuwa ndefu kidogo takribani saa moja na nusu hivi mpaka kuna wakati iliwabidi warembo wapandishe suruali kujiweka sawa na mzunguko. Mtoa maelezo akiwa maelezo warembo namna vilaji vinavyotengenezwa.
Mrembo akiwa maabara.
Warembo wakiwa maabara.
Mtambo wa kutengeneza kilaji la REDD'S.Tour inaendelea.
Mvuke uliomo kiwandani uliwanya mamiss wakohoe kidogo kutokana na uzoefu wa mabo ya kilaji.
Waremboz wa miss Ilala 2011 wanaotarajia kupanda jukwaani ijumaa hii viwanja vya mnazi mmoja..
Matroni,Bahati miss Ilala 2010.
MKE WA OBAMA AMWAGA MAYENU..!
No comments:
Post a Comment