Wito huo ulitolewa jana na Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro wakati akizungumza na warembo waliofika katika kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) Ilala.
Victoria alisema kuwa warembo wanaoshiriki shindano la Redds Kinondoni wanao wajibu wa kuwafundisha wanajamii masuala mbalimbali yahusuyo ukwimwi, Malaria na masuala mengine muhimu yanayoigusa jamii.
Victoria alisema kuwa warembo wanaweza kuifundisha na kuibadilisha jamii kuondokana na dhana potofu mbalimbali ambazo zinaathari katika jamii na kuiweka jamii katika mstari ulionyooka.
Aliwataka warembo hao kutambua kuwa ushupavu ndio njia pekee ikayowawezesha kufika mbali ikiwa pamoja na kufikia ndoto zao za baadae.
“Ni kwamba mtazamo wa Redds ni kuhusu suala la kujiamini, kujitambua na kuwa na maadili na ndio maana kupitia kinywaji hiki tumeamua kuwafikia akinadada kupitia kinywaji cha Redds kwa kudhamini masuala ya urembo” alisema Victoria.
Warembo wa shindano hilo walipata nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho ikiwa pamoja na kujionea shughuli mbalimbali za kiwandani hapo, shindano la Redds Miss Kinondoni linafanyika Jumamosi ijayo katika ukumbi wa Mlimani City.
JUSTINE TIMBERLAKE NA MILA KUNIS WANYEMELEANA..!!
BASI LA HOOD LILIVYOPATA AJARI
Baada ya basi la Hood lililokuwa likitoka Mkoani Mbeya kwenda Arusha,lilipogongana uso kwa uso na lori la mizigo lilolokuwa na mafuta ya kula tani 24 kutoka Morogoro kwenda Songea jana kwenye barabara iliyopo ndani ya hifandi ya Taifa ya Mikumi,mkoani Morogoro.watu watano walifariki na 41 kujeruhiwa.
Na ndipo Moto mkali ukiwaka mara baada ya magari hayo kugongana.
KILICHOMFANYA TYRA BANKS KUPANDA NGUZO YA TRAFFIC RIGHTs HIKI HAPA
Warembo 11 wanaotakao panda jukaa la Hotel Oasis mjini Morogoro hii leo Julai 22,2011 kuwania taji la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo Usambara Lodge. Miongoni mwao atapatikana Mrembo mwenye haiba ya Picha (MD Digital Company Miss Photogenic 2011)
Thureya Dabas (21)
Elimu: Chuo DSJ Cheti Uandishi wa Habari
Miss Pwani 3
Winifrida Gration (21)
Elimu: Diploma UDSM
Miss Pwani 1
Rahma Swai (21)
Elimu: Cheti cha Biashara na Utawala CBE
Miss Mtwara
Pendo Daniel (22)
Elimu: Kidato cha 4
Miss Morogoro 5
Asha Iddy (19)
Elimu: Kidato cha 4
Miss Lindi 3
Ritha Kavishe (22)
Elimu: Shahada ya Utalii
Miss Morogoro 2
Mariaclara Mathayo (21)
Elimu: IAMCO Cheti cha upigaji picha za video.
Miss Pwani 2
Sharifa Issa (20)
Elimu: Kidato cha Nne
Miss Morogoro 3
Aqsaritah Mabula (20)
Elimu: Diploma Airline
Miss Morogoro 4
Loveness Flavian (20)
Elimu:Degree ya Mahusiano ya Kimataifa.
Miss Lindi 1
Asha Saleh (20)
Elimu: Kidato cha sita
Miss Morogoro 1
No comments:
Post a Comment