Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, July 20, 2011

JA RULE ONGEZEWA MIAKA MITATU JELA


Artist Jeffrey Atkins ama Ja Rule ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 2 jela kwa kosa la kukutwa na silaha kinyume na sheria kwa sasa amepewa mvua nyingine ya miezi 28 ikiwa ni miezi 5 zaidi,baada ya kukiri kutolipa kodi kwa muda wa miaka 5
Msanii Ja Rule alikubali kulipa zaidi yadola milioni 1.1 kama kodi na faini kuanzia mwaka 2004-2008 na alikamatwa na bastola pande za Manhattan kwenye concert mwaka 2007 na alianza kutumikia kifungo tangu mwezi na anatarajiwa kuzindua album yake mpya iitwayo Pain is Love 2 baadaye mwaka huu.



KAZI TIME!
Kijana muuza machungwa akiokota machungwa chini baada ya ya tololi la kuuzia kupinduka.
Kazi ni kazi mapipoo! ilimradi mkono unaenda kinywani,vijana tuchape kazi tutatoka!



KENDRA AFANYA VIOJA NA MUMEWE UFKENI

Kendra Wilkinson is set to start filming her show again and what better way to kick that off than by hitting the beach with her husband Hank and the kid?
The former Playmate and her family splashed around in the water, built sand castles and Kendra even exposed some cheek.
Hank went in to give his wife a hug and accidently, on purpose, lifted her skirt for the camera. Yes. We said 'accidently' on purpose!



DMX ATOKA JELA 

 Rapper Earl Simmons aka DMX ameachiwa baaday akumaliza kifungo chake cha miezi nane ambapo alihukumiwa mwaka mmoja katika gereza la Arizona pande za Yuma, huko USA.
 kitu pekee alichokikumbuka zaidi wakati akitumikia kifungo chake ni bintake. 



BARUA YA DAVD JAIRO ILIYONASWA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishari na Madini Mheshimiwa David Jairo.
 NA; KING KIF{SOURCE}


---
 RUHANNA APIGA KILAJI JUKWAANI

Rihanna is red hot, drunk and crunk!

The "Only Girl In The World" singer didn't waste any time getting wasted during her performance last night in Atlantic City, NJ. 



RAIS JAKAYA AKIWA ZIARANI AFRIKA KUSINI
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Ulinzi la Afrika ya Kusini wakati wa mwanzo wa Ziara yake Rasmi ya kitaifa nchini Afrika ya Kusini jana.
 

TOP MODEL- ROSIE HUNTINGTON

Rosie Huntington-Whiteley is fresh off starring in the blockbuster Transformers 3: Dark of the Moon and is doing better than ever.
The 24-year-old model is trying to make her name in the movie business, but you always have to go back to what you're good at!
Rosie recently participated in a swimwear photoshoot for Al Yidiz's 2011 campaign and looked stunning in many different pieces of swimwear.
These photos made us forget she was even an actress and make her look like she was born to be a model!

uzinduzi"

No comments: