Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, July 22, 2011

VODACOM MISS LAKE ZONE KUFANYIKIA MELINI KESHO

Warembo wa Vodacom miss lake zone wakiwa wajipanga kwaajili ya picha ya pamoja katika uzinduzi wa eneo husika ambapo mtanange huo utakapofanyika siku ya jumamosi.
Second ofisa wa meli ya Victoria Godifrey Kalikayo akitoa maelezo kwa washiriki wa miss lake zone walipotembelea meli hiyo kujionea utendaji kazi.Baada ya kuzunguka na kuishuhudia jiografia melini humo warembo hao walipata fursa ya kupata chakula cha mchana.
Hizi ni safari za mwisho mwisho kwa warembo hao kuelekea siku ya jumamosi tupate kushuhudia kinyang'anyiro cha kumsaka Mnyange wa Miss lake Zone atakaye jumuika na washiriki wenzake toka kundini kwenye Miss Tanzania baadaye mwaka huu.
Warembo kubunyabunya misosi mchana huu.



 
SHOW YA RIHANNA NA JAY-Z JANA USIKU NEW JERSEY

Rihanna got LOUD in New Jersey and ran the town with Jay-Z last night.
Red hot singer Rihanna belted out the hook to "Run This Town," a collaborative song with Jay-Z and Kanye West for her fans.




CHUI AUWA WATU 11 INDIA
  A wild leopard killed 11 people in a small Indian village near Siliguri on Tuesday. 
  The attack occurred after authorities and villagers attempted to drive the leopard into a nearby wildlife sanctuary.




AMBER ROSE AELEZEA JINSI ANAVYOFAGILIA USAGAJI TOKA UTOTONI
Amber Rose Gallery
Amber Rose is featured in the latest issue of Curve Magazine, the largest publication for Lesbian and Bisexual women, and she opens up about her bisexuality. 
"I've always been attracted to girls ever since I was little, and I like boys too. But as I got older in my teenage years a lot of the you know, freaky girls who were doing all kind of nasty stuff would say they were bisexual, so I never wanted to because I wasn't into those things."
"It was a weird moment in my life when I didn't know how to explain to myself I wasn't gay, but I wasn't straight and I just wasn't like some freak ― that you know, was just having threesomes all day. For me if I was in a relationship with a woman then I was just with her and vice versa."
"When I had my first girlfriend, me and my mom are best friends ― I just told her and my mom was like whatever makes you happy girl. Whatever you like that's your business I don't care. It was really easy for me."



 Mercedes Benz Fashion Week

Adrienne Bailon, former Cheetah Girl and That's So Raven co-star, turned heads at the Have Faith Swimwear runway show in Miami, Florida on July 18.
The fashion show was part of Mercedes Benz Fashion Week and Adrienne Bailon was the star, looking amazing in various two-piece swimsuits that showed off her incredibly toned body. 




CHAKA KHAN APIGA MATAMBO CLOUDS
 Chaka Khan akizungumza na Mtangazaji wa Choice FM,Thandi leo mchana alipokuwa akifanya nae mahojiano mafupi kuhusiana na onyesho lake litakalofanyika ndani ya Ubungo Plaza,July 23 kwa udhamini mkubwa wa Club E.
picha ya pamoja ya Chaka khan na Mtangazaji wa redio ya Choice FM,Thandi maara baada ya kufanya nae mahojiano mafupi..

No comments: