Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, November 9, 2012

DIAMOND NA I-VIEW MEDIA LAWAMANI KUTAPELI MODELS

Katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM Segment You-Heard Amepigiwa Simu Model mmoja wapo Ambae alichaguliwa katika ule mchakato uliofanywa na Diamond pale Nyumbani Lounge wa kuchagua Models watakao shiriki katika Video ya Nataka Kulewa ambayo ilifanyika Jana ..
 
Model huyo Amesema toka wachaguliwe wamekuwa wakienda ofisi za I-View ambapo ndio wahusika wa video hiyo Bila kupewa chochote na kushinda na Njaa, Mbaya zaidi ni Hapo Jana ambapo video ilifanyika na kuambulia Kupewa Shilingi Elfu kumi Kila Mmoja ...Nadhani Hapa Diamond ana Tuhuma Za kujibu ili awake mambo sawa ..Binti Alie Ongea na Clouds Fm ameongea kwa Uchungu Sana....

No comments: