Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, November 16, 2012

UZINDUZI WA KHANGA ZA KALE NA ASIA IDAROUS

 Mama Asia Idarous akiwa katika pose na vazi lake la khanga nyuma ya bana la Unique model ambapo unique model ni ndhamini rasmi kangha za kale fashion show.
 Mama Asia Idarous akieleza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous akielezea kwa waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la Kanga ya kale linatakalofanyika Ijumaa ijayo ya Novemba 23, Kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam , kulia ni Mkurugenzi wa Mabibo Beer Benadicta Rugemalila pamoja ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo

No comments: