Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, November 17, 2012

HOMA YA USAILI WA UNIQUE MODEL 2012 YAZIDI KUMBA MOTO

Homa ya usaili inazidi pamba moto kwa models wenye nia ya kuataka kushiki ikiwa siku ya kesho ndiyo usaili utafanyika pale Lamada Hotel mida ya saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana .
Tumekuwa tukipokea simu nyingi sana toka kwa models mbalimbali ndani na nje ya jiji la Dar es salaam waliwa na hamasa kuu ya kutaka kuwania tiketi ya kushiriki shindano lenye mvuto wa aina yake Unique model 2012.
Jumapili siku teule kwa usaili wa maodo hao itakuwa nzuri sana kwani tunategemea models wengi kujitokeza kwaajili ya usaili huu wa aina yake ambapo wateuzi watateua models 10 tu kuingia katika mtanange huo wa unique model 2012.
Tunategemea kupokea models wenye sifa na wenye ari ya kuendeleza sanaa ya mitindo nchini Tanzania.

No comments: