Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Sunday, November 11, 2012

WCHAWI WANNE WALIODONDOKA NA UNGO WACHOMWA MOTO


Tukio hili linahusisha wachawi wanne (wawili wanawake na wawili wanaume) walipodondoka na ungo walipokuwa katika harakati za kwenda kuroga kwenye nyumba za watu .

Taarifa zaidi zinaseama kuwa wachawi hao walidondoka mara baada ya kile kinachhonekana kuwa ni upinzani kutoka kwa wengine wenye nguvu kuliko wao kuidondosha ndege yao(UNGO) kwenye mishale ya saa kumi ALFAJIRI.

Kilisikika kishindo kizito sana wakati wa mwanguko huo na hivyo kupelekea wanachi ambao ni majirani wa hapo karibu kuanza kutoka nje kushuhudia ni nini kimetokea na ndipo walipopigwa na butwaa pale walipowakuta wachawi hao wanne wakiwa wamedondoka chini huku wakiwa hawana nguvu tena ya kupaa!! 
 Wananchi walizidi kuongezeka mno na hivyo kujaza umati katika eneo hilo.


Habari zinadai kuwa mara baadaya kukamatwa wachawi hao walikusanywa na kuwekwa mbele ya hadhara ya watu na kuanza kushambuliwa na watu wenye hasira kali.

 

HATIMA ya wachawi hao ilifika pale wananchi hao waliwamwagia mafuta na kuwateketeza mpaka walipofariki.

No comments: