Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Saturday, November 10, 2012

WALTER CHILAMBO NDIYE MSHINDI BSS ALAMBA 50 ML

Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, na jaji mkuu wa Shindano la  Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), akiwa amemkumbatia mshindi wa shindano hilo Walter Chilambo usiku huu ndani ya ukumbi wa Diamond,Chilamba ameibuka na kitita cha shilingi Milioni 50
Walter Chilambo amefanikiwa kuchukua shindi wa shindano la kusaka vipaji BSS kwa kuwabwaga wenzake watano ambapo nafasi ya pili imeenda kwa Salma yusufu na watatu ni Wababa mtuka ambapo wanandugu nsami nkwabi nafasi ya nne na Nshoma nkwabi nafasi ya tano.
 Washiriki wa EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali wakiwa jukwaani usiku huu wakati kabla kuanza kwa fainali hizo.Milioni 50 za kitanzania zimeenda kwa Walter Chilambo.

No comments: