Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Tuesday, November 6, 2012

JE WAIJUA UNIQUE MODEL..?

Unique model ni shindano la kumsaka mwanamitindo bora wa kike wa mwaka mwenye kipaji cha kipekee katika sanaa ya mitindo nchini Tanzania.
Lengo: kuinua vipaji vya wanamitindo wachanga.
           :  Kutukuza utamaduni wa mtanzania katika mavazi yaliobuniwa na wabunifu wa hapa nchini.
                      :  kuinua vipaji vya wabunifu wachanga.
                 : Kutoa ajira kwa vijana.
                 : Kuitangaza nchi yetu Tanzania kimataifa kupitia sanaa ya mititindo inayokuwa kwa kasi hapa nchini.
                 : Kutangaza biashara za makampuni yaliowekeza nchini Tanzania.
                 :Kutoa elimu kwa umma kuhusiana na mambo ya kijamii kupitia sanaa ya mitindo.
                 :Kufanya kazi za jamii.

No comments: