Mmoja
wa watuhumiwa wa kundi linaloendesha mfululizo wa
matukio ya kulawiti wanaume katika kijiji cha
Chekereni nje kidogo ya Jiji la Arusha akiwa chini ya
ulinzi mkali wa wanakijiji muda huu.
Hii
inafuatia maandamano kwenda ofisi ya RCO kutozaa
matunda. Wananchi wameazimia kufanya msako mkali ili
kukomesha vitendo hivyo..
Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na baadhi wamelala hawawezi kutembea….
Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na baadhi wamelala hawawezi kutembea….
No comments:
Post a Comment