Ni
siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend
wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.
No comments:
Post a Comment