Unaweza
kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho,
kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social
media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu.
Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.
Juzi
kwenye msiba wa Rechal pale makaburini kulikuwa na makundi huku Kajala
akiwa na sare tofauti na as well Wema alivaa sare ya peke yake lakini
hii inaweza kuwa tofauti katika msiba wa Tyson kwani wawili hao
walipatanishwa wakiwa msibani hapo na kuamua kuyamaliza kwani hakuna
mfano mzuri katika maisha ya mwanadamu kama kifo, kwani kinamkumbisha
kila mmoja wetu kuishi vema na kwamba kesho tutaondoka .
Wawili
hao walitofautiana kwa sababu wanazojua wao wawili na Instagram
kuchochea ugomvi na kuwasemea vitu ambavyo hata wawili hao hawajaongea
mwisho wa siku Wema na Kajala ikawa wanapishana kama train za Umeme au
bus ya mwendo kasi but final wamepatana na kupeana mikono .
No comments:
Post a Comment