Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, October 4, 2010

SERENGETI YAZINDUA KAMPENI YA SAIDIA TAIFA STARS ISHINDE..!!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTHzq7FLnRKVzlsskA1fvxFvCYpl7uMDsVuRAJWfjkfDGO4UCzuHgD0R5yNyh69SjUOn9s0FO3z6HWYob77j3Rs_mfsNj5aMjAmPBLWwsK6ffqXrZDi8zQGbV-8AV_Af1tRBV0BBjAtX-Y/s1600/2.jpg

              Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha Taifa stars wakipiga picha ya pamoja katika uzinduzi wa kampeni hiyo  

         

                               TANGAZO

FOMU ZA KUJIUMGA NA MR.HANDSOME-MAN ZAANZA KUTOKA LEO

tembelea photopoints zote,zizzu fashion utapata kwa Tshs 3000/= tu


WASHINDI WA MBIO ZA VODACOM TANZACAT

David Scott na Alistai Bush washiriki wa mbio za mashua za Vodacom Tanzacat wakionyesha zawadi za picha walizozawadiwa baada ya kushiriki mbio hizo za mashua zilizofanyika katika fukwe za bahari ya Hindi ya Tanga ,Zanzibar na Dar Salaam hivi karibuni.
Washindi wa jumla wa mbio za mashua za Vodacom Tanzacat , Auron Ubrrall (kulia)na Sarah Pires wakipongezwa na marafiki zao ma baada ya kutangazwa kuwa washindi wa mbio hizo zilizofanyika katika ufukwe wa bahari ya Hindi ya Tanga ,Zanzibar na Dar Salaam hivi karibuni. 
BSS YAIVA


Mbasi wa maana unaotumiwa na washiriki wa BSS 2010 ukiwa umepaki nje ya mjengo wao uliopo maeneo ya Mikocheni,jijini Dar

Kama lionekanavyo jumba linalotumiwa na washiriki wa Kili Bongo Star Search 2010 chini ya udhamini mkuwa wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager, ambapo mpaka sasa washiriki ishirini wapo ndani ya mjengo huu na watakaa mpaka mashindano BSS yatakapo malizika kwa mwaka huu.

Celine aims to redefine luxury values

 PARIS – After redefining the way women dress, Phoebe Philo — Celine designer and purveyor of the new minimalism that has taken catwalks and Main Street by storm — is aiming to redefine the values of the luxury industry.

Many of the supple silks and cotton fabrics that made up her clean-lined spring-summer 2011 ready-to-wear collection Sunday were sourced from small mills in Japan and elsewhere that craft material by hand the old way. She acknowledged that working with such small providers can prove more complicated than going through the large-scale European mills that luxury labels like Celine would normally use, but said "if you want it, anything is possible."
"It's slower because of the distance, but I just thought it was really important we stepped out of the European industrialized universe ... (to get) back to basics," Philo told The Associated Press in a backstage interview.
Her third collection for Celine since returning to fashion after a yearslong hiatus continued in the minimalist vein that has become her trademark, but softened it with some ethnic touches.
And as if Celine didn't have enough to offer the working women of the world, Akris gave professional ladies even more to choose from with a collection of boardroom-ready looks that were just chic enough.
Givenchy delved into the dark side with a dramatic, S&M-soaked collection, while John Galliano continued to churn out the magpie looks that are unmistakably his. Galliano's show was staged in a gilded Paris theater, and being in the audience there was like watching a lush and elaborate pantomime with the world' biggest costume budget.
 

No comments: