Uniqueentertz blog inampongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kutimiza miaka 60 katika uhai wake akiwa na madaraka makubwa ya nchi yetu.Tunakutakia maisha marefu
Rais wetu katika kipindi kijacho cha uongozi tupo pamoja.
No comments:
Post a Comment