CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja mikoa 10 ambako yatafanyika maandamano ya Aprili 16 mwaka huu kushinikiza serikali
kubadili muswada wa katiba na uzingatie maoni ya wadau na kushirikisha umma.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana Mkuu wa operesheni ya maandamano hayo Bw. Singo Benson ambaye pia alitaka viongozi wa chama hicho watakaoyaongoza, alisema lengo lingine ni kushinikiza mswada huo uandikwe kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingeleza.
Bw. Benson alisema suala lingine ni kutaka serikali kutoa muda kwa umma kabla ya muswada huo haujaenda bungeni kupitishwa.
Aliitaja mikoa itakayofanyika maandamano hayo kuwa ni Morogoro ambapo kiongoozi wa maandamano atakuwa Mbunge wa Mpanda mjini Bw. Said Arfi, Arusha Bw. Zitto Kabwe, Kigoma Bw. Ezekiel Wenje na mkoa Ruvuma yataongozwa na Bw. John Mnyika.
Mikoa mingine ni Dodoma yatakayoongozwa na Mbunge wa Arusha Bw. Godfrey Lema, Pwani Makamu mwenyekiti wa Chadema, Zanzaibar, Mtwara yatakayoongozwa na Bw. Mabere Marando, Tabora Bw. Willibod Slaa, Mbeya Bw. Freeman Mbowe pamoja na mkoa wa Kilimanjaro.
kubadili muswada wa katiba na uzingatie maoni ya wadau na kushirikisha umma.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana Mkuu wa operesheni ya maandamano hayo Bw. Singo Benson ambaye pia alitaka viongozi wa chama hicho watakaoyaongoza, alisema lengo lingine ni kushinikiza mswada huo uandikwe kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingeleza.
Bw. Benson alisema suala lingine ni kutaka serikali kutoa muda kwa umma kabla ya muswada huo haujaenda bungeni kupitishwa.
Aliitaja mikoa itakayofanyika maandamano hayo kuwa ni Morogoro ambapo kiongoozi wa maandamano atakuwa Mbunge wa Mpanda mjini Bw. Said Arfi, Arusha Bw. Zitto Kabwe, Kigoma Bw. Ezekiel Wenje na mkoa Ruvuma yataongozwa na Bw. John Mnyika.
Mikoa mingine ni Dodoma yatakayoongozwa na Mbunge wa Arusha Bw. Godfrey Lema, Pwani Makamu mwenyekiti wa Chadema, Zanzaibar, Mtwara yatakayoongozwa na Bw. Mabere Marando, Tabora Bw. Willibod Slaa, Mbeya Bw. Freeman Mbowe pamoja na mkoa wa Kilimanjaro.
Hosni Mubarak hali mahututi hospitalini Cairo
Aliyekuwa rais wa Misri Hosni Mubarak amelazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi mjini Cairo. Awali MUbarak alilazwa katika hospitali moja eneo la kitalii la Sharm Sheikh.
Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kuwa alipata mshtuko wa moyo alipokuwa akihojiwa na wachunguzi juu ya mauaji yaliyofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Misri.
Televisheni ya kitaifa ya Misri imenukuu baadhi ya madaktari wakisema kuwa Muabarak alikataa kula wala kunywa baada ya kuagizwa kufika mbele ya mwedesha mashtaka mkuu, pamoja na wanawe, yapata siku mbili sasa.
kwa sasa anatibiwa magojwa ya moyo katika hospitali ya Sharm Al sheikh, ambapo madakitari wanasema kuwa anaendelea vyema.
Usalama wa hali ya juu umewekwa katika hospitali. Bwana Mubarak aliye na umri wa miaka 82 aliripotiwa kuzorota afya yake baada ya upasuaji wa moyo aliyo fanyiwa nchini Ujerumani mwaka jana.
Hata hivyo marafiki zake wa karibu zaidi wamesisitiza kuwa hali yake iko shwari.
Mamia ya waandamanaji walisalia katika hospitali hiyo baada ya maandamano ya ijumaa, na wamesisitiza kuwa wataendelea kuketi hapo hadi pale kiongozi huyo atafunguliwa mashtaka.
Wakati huo huo jeshi pamoja na polisi wameizingira bustani ya Taharir ambapo kumekuwa na waandamanaji wanaoshinikiza kuwepo na utawala wa kiraia pamoja na kushtakiwa kwa watawala waliong'olewa madarakani.
Rihanna Takes Aim At Opinionated Blogger For Chris Brown
Rihanna has fired off at one Internet blogger who bashed the R&B beauty for refusing to continue her court-imposed restraining order against ex-boyfriend Chris Brown earlier this year (2011).The Umbrella hitmaker allowed the order to expire and agreed with a judge that Brown had been punished enough for his attack on her in 2009.
But not everyone was happy with her decision and one blogger, Sandra Rose, called it "a disgrace".
Rihanna has used a new Rolling Stone interview to hit back at the opinionated writer, insisting, "A lot of people get so brave behind the computer screen."
The singer rages, "When she's jumping to conclusions about my personal decision, it really p**sed me off. That's my decision. You don't make that decision for me."
And the star insists the relaxing of the restraining order does not mean she has any plans to get back together with her ex.
She adds, "It doesn't mean we're gonna be in a relationship, or make up, or even talk ever again... We don't have to talk again ever in my life. I just didn't want to make it more difficult for him professionally."
Under the terms of the original order, Brown had to stay at least 100 yards away from Rihanna after pleading guilty to assaulting her. That meant there were awards shows and functions he simply could not attend.
BEYONCE KNOWLES KUTUMIA DANCERS TOKA AFRICA!
Beyonce Knowles aka shemeji kwa Jay-Z aka Queen B inasemekana amewakodisha dancers wapatao 200 toka Africa kwa ajili ya shooting ya video yake ya 4
BEYONCE AKIFANYA MAZOEZI NA DANCERS TOKA AFRICA
Dancers hao kwa sasa wako jijini Los Angeles wakimfundisha Beyonce kucheza kwa swagga za kiafria,ili apate kuzijua na pia ku shoot nae video yake mpya inayosemekana itaitwa Girl na video hiyo itatoka mwezi June mwaka huu na hivi karibuni akipiga picha aka photoshoot kwa ajili ya album yake jijini New Jersey,alipiga picha na pozi kibao akiwa kwenye mavazi au nguo 70 tofauti na March 28,2011 alitangaza kuwa meneja na baba yake Mathew Knowles kuwa sio meneja wake tena
Amber rose akideka kimahaba baada ya kuiba boifriend wa natalie
There's nothing like a little bird fight to kick off the weekend. Wiz Khalifa's ex-flame Natalie Nunn of Bad Girls Club fame is caught in a war of words with his current girl Amber Rose.
Natalie akipata mafundo kasdhaa ya mate toka Wiz khalifa
Natalie nunn
There's nothing like a little bird fight to kick off the weekend. Wiz Khalifa's ex-flame Natalie Nunn of Bad Girls Club fame is caught in a war of words with his current girl Amber Rose.
Natalie akipata mafundo kasdhaa ya mate toka Wiz khalifa
Natalie nunn
We'd rather spend our Saturday doing something besides dissecting starlet beef, but check out the choice tweets below. You can follow the entire feud at their respective Twitter feeds: @DaRealAmberRose and @missnatalienunn.
ujumbe wa missnatalienunn kwenye twitter:
YALL "LOVE GAMES" IS STRAIGHT COMEDY.. IMMA HAVE YALL ON THE GROUND!!! HILARIOUS.
ujombe wa amber rose kwente twiter:
@RealWizKhalifa I'm ur lil sunshine head my lil Gremlin. :-)So @itslukiebaby reported last month that Natalie and Wiz were involved. What they were involved in..not so sure!!?? =/ Just this week @MarissaMendez posted that Amber and Wiz have made it official. But I guess Natalie didn’t know her and Wiz were no more because she took to U-stream and recorded a 20 minute video getting at Wiz and Amber and telling it all about her and Wiz’s few dates they had together!!! Hit the jump to see the full U-stream video. Is Natalie bitter much or what??? But at the end of the day Natalie is still #4 on the IFWT National Bird Association list so we all know she’s really just trying to get somewhere in this game!
United Yaidunda Chelsea 2-1
Magoli mawili kutoka kwa Chicharito na Ji Sung Park yamein'goa Chelsea katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya.
Chelsea ilienda Old Trafford ikiwa imefungwa bao 1-0, katika mchezo wa kwanza uliochezwa Stamford Bridge na kutakiwa kufunga japo magoli mawili ili isonge mbele.
Gumzo kuu kwa upande wa Chelsea lilikuwa kuanza au kutoanza kwa Fernando Torres, ambaye hajafunga goli hata moja tangu ahamie Stamford Bridge kutoka Liverpool kwa uhamisho wa Pauni milioni 50.
Carlo Ancellotti aliamua kuanza na Torres.
Bao la kwanza la United lilifungwa na Havier Hernandez katika dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza.
Kipindi cha pili Chelsea walifanya mabadiliko kwa kumtoa Torres na kumuingiza Didier Drogba, ambaye katika dakika ya 77 alitikisa nyavu za Man United.
Hata hivyo bao hilo halikudumu kwa sekunde nyingi kwani Ji Sung Park alipachika bao la pili katika dakika hiyo hiyo.
United sasa wanasonga mbele kucheza nusu fainali, na huenda wakakutana na Schalke 04 au Inter Milan.
Katika mchezo mwingie wa robo fainali, Barcelona wamesonga mbele baada ya kuichapa Shaktar Donetsk 1-0.
QJ AMUA KUMFUATA YESU AMKATAA SHETANI
RnB singer wa Tanzania ambaye kwa sasa anaendelea kula matunda ya ndoa,Joseph Kelvin Mapunda aka Q-Jay kwa sasa ameokoka na kuamua kumfuata yesu!
ArtistQ-Jay amekuwa akitolea nje concert kibao ambazo anaalikwa kwa ajili ya kufanya show,kutokana na imani yake mpya aliyonayo sasa amefunguka kuwa “mziki niliokua nafanya ulikua ni wa dunia na ningewashauri wasanii wenzangu wote wanaoimba nyimbo za dunia kuufata wokovu na kuachana nazo,kwa sasa nimepumzika kufanya shughuli za mziki lakini kuanzia mwezi wa sita nitaanza kurekodi mziki yangu mipya ya kumtukuza mungu yaani gospel na natarajia kutoa album”....alimalizia Q Jay kwa sauti pole ya kilokole,akifuata nyayo za Stara Thomas,K Basil na Renee Lamira!
Nicki Minaj Has Beenie Man, Lady Saw and Mavado on Her IPod
The Pink Friday Platinum Album creator Nicki Minaj who's currently busy promoting her album reveals that during her spare time a little dancehall music is a must play on her IPod.
According Nicki she recently got herself a ton-load of new dancehall tracks that includes songs from Beenie Man, Lady Saw and Mavado.
Apart from the hardcore beats of dancehall she likes to slow down the tempo with songs from her favourite gospel artistes Cyndi Lauper, Avril Lavigne.
Apart from the hardcore beats of dancehall she likes to slow down the tempo with songs from her favourite gospel artistes Cyndi Lauper, Avril Lavigne.
In the R&B - Hip Hop category you find artistes like Rihanna, Kanye West, Lil Wayne and of course her rumored boyfriend Drake.
KUNDI LA WAHUNI LAINGIA BUNGENI |
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan, amesema vijana waliotaka wabunge wa Zanzibar wajiondoe bungeni ni kundi la wahuni. Akizungumza kwenye ofisi za Bunge jana, Suluhu alisema vijana hao ni wahuni na kwamba waliamua kufanya hivyo kwa utashi wao na sio kwa utashi wa watu wa Zanzibar. Suluhu alisema masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa Kamati ya Bunge Katiba, Sheria na Utawala wakati ikikusanya maoni kuhusu muswada wa kuundwa kwa tume ya marekebisho ya katiba yalikuwa ni mawazo tofauti ya wananchi. “Wanapokusanyika watu lazima watakuwa na mawazo tofauti, siamini kama kuna Mtanzania hataki amani na usalama wa nchi yetu,” alisema.Alisema kifungu cha tisa katika muswada huo, kinabainisha vitu muhimu kwa taifa ambavyo vinatakiwa kuzingatiwa kwenye katiba mpya na kwamba wananchi hawakatazwi kujadili jinsi ya kuviboresha. |
JAMAA AFUMANIWA AKILA URODA MKE WA MTU
If theres anything a man WILL NOT tolerate in a relationship, aint aint bad cookin’, it aint bad sex…well maybe bad sex but the absolute deal breaker issssss….no need for a drumroll because you already know: CHEATING! Its the age old question. Why will a woman stand by after being cheated on but a man will not? I’ve had quite a few chats with uncles, cousins and even my own father to figure this one out. What it boils down to is EGO. Most guy’s ego can’t withstand that type of blow. Cheat on a man and you might as well take away all his cash, deflate his muscles and slap a vagina on him. Ok, maybe that was drastic but you get the point. Continue reading after the jump.
No comments:
Post a Comment