Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Friday, April 29, 2011

MATOKEO KIDATO CHA SITA WAVULANA WAONGOZA!!


Wavulana wamejitutumua na kufanikiwa kushika nafasi kumi bora katika matokeo ya mtihani wa kidato cha
sita uliofanyika Februari mwaka huu.

Akitangaz amatokeo ya kidato hicho leo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa, Dk. Joyce Ndalichako alisema, watahaniwa wamejitahidi kufanya vizuri zaidi katika masomo ya hesabati, kemia, jiografia, fizikia, uchumi na biashara kuliko mitihani iliyopita ambapo wengi walikuwa wakaianguka.

                  Dk. Ndalichako alisema katika mtihani huo, wavulana 25,872 sawa na asilimia 91.690  na wasichana 15,088
sawa na asilimia 92.63 wamefaulu na kutaja wanafunzi kumi bora walioongoza katika matokeo hayo na majina ya shule zao kwenye mabano kuwa ni Muhagachi Chacha (Kibaha), Samwel Katwale (Mzumbe), Amiri Abdalah (Feza Boys), Aron Gerson, Shaban Omary wote wa Tabora Boys, Kudra Baruti (Feza Boys), George Assenga (Majengo), Comman Nduru (Feza Boys), Francis Josephat (Tabora Boys) na George Felix (Mzumbe).

                Dk. Ndalichako pia aliwataja wasichana walioongoza kuwa ni Doreen Kabuche (Benjamin Mkapa), Rahabu
Mwang'amba (Kilakala), Mary Moshi (Kifungilo Girls) Nuru Kipato (Marian Girls) Zainabu Hassan (Al-Muntazir Islamic),Catherine Temu (Ashira), Anthonia Lugomo (Usongwe), Cecilia Mville (Kifungilo Girls), Mariam Matolwa (Kilakala) na Suzan Makoi (Tarakea).

               Katika hatua nyingine, Dk. Ndalichako alisema shule za sekondari za seminari zimendelea kufanya vizuri
ambapo kwa mara nyingine shule Marian Girls ya mkoa wa pwani imeendelea kutesa kwa kuibuka ya kwanza katika kundi la shule zenye watahiniwa zaidi ya 30.

             Alizitaja shule nyengine zilizo kwenye 10 bora katika kundi hilo kuwa ni Feza Boys, Kifungilo, Kibaha, St.
Mary's Mazinde, Ilboru Tabora St. Mary Goreti, Mzumbe na Mafinga na kwa upande wa shule zilizofanya vizuri katika kundi la zile zilizokuwa na watahiniwa chini ya wanafunzi 30 ni Uru Seminary, St. James Seminary, Maua Seminary, Same seminary Dungunyi Seminary D.C.T Jubilee St. Joseph-Kilocho Seminary, Mlama na Masama Girls.

            Dk. Joyce akifafanua kuhusu watahaniwa wa mtihani huo mwaka huu alisema jumla ya watahiniwa 44,720
sawa na asilimia 99.47 kati ya waolisajiliwa walifanya mtihani huo ambapo wasichana walikuwa 16,327 sawa na asilimia 99.63 na wavulana 28,393 sawa na asilimia 99.38, huku kuhusu ubora wa ufaulu akisema jumla ya watahiniwa 34,949 sawa na asilimia 78.53 wamefaulu katika madaraja ya kwanza, pili na tatu wakiwemo wasichana 12,868 sawa na asilimia 79 na wavulana 22,081 sawa na asilimia 78.25.

          Alisema watahaniwa 49,653 sawa na asilimia 87.24 ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha sita
mwaka 2011 wamefaulu. Wsichana waliofaulu ni 18,351 sawa na asilimia 88.74 wakati wavulana waliofaulu ni 31,302 sawa na asilimia 86.38. Mwaka jana watahiniwa waliofaulu walikuwa 55,772 sawa asilimia 88.85.MADEE AMKANA DEM WAKE

  Hamad Ally aka Madee toka Tip Top Connection,amefunguka na na kukana kumtaja mchumba wake mpya anayedawa anaitwa Salma

Madee alimpoteza mchumba wake,Pendo aliyefariki dunia katika ajali ya gari na kufunguka zaidi kuwa si kweli aliyetoka kwenye magazeti pendwa ya leo Ijumaa ni mchumba wake bali anadai ni dada yake na wala haitwi Salma,na alishangaa kuona habari hiyo imetoka kwenye vyombo vya habari!Kujivua gamba kwa CCM hakuondoi uchakavu wake- Mbowe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
       WATANZANIA wameshauriwa kutobabaishwa na mabadiliko yanayofanywa na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa  utaratibu wa viongozi wake
kujivua ‘gamba’ hauondoi uchakavu wa chama hicho.      Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe alipokuwa akitoa salaam za pole kwa wakazi wa Mkoa wa Shinyanga kutokana na kifo cha Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama hicho, Marehemu Philipo Shelembi kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita.     Bw. Mbowe alisema kitendo kinachofanywa hivi sasa na CCM kwa kuwavua magamba viongozi wake wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ufisadi hakiwezi kuwasaidia lolote Watanzania kwa vile wanaovuliwa ‘gamba’ hawafikishi katika vyombo vya dola kuadhibiwa.


Beyonce hit with $100 million lawsuit

beyonce_law_suit_100_million.jpgDid Beyonce cause dozens of people to lose their jobs before Christmas, and a video game developer to lose more than $100 million? That's what a summons filed Tuesday in Manhattan Supreme Court alleges.
The document, filed by video game company Gate Five, claims that they'd teamed up with the singer for a dance game called "Starpower: Beyonce."Beyonce asked for more money last December. The suit calls it "a bad faith breach of contract so callous that, on what appeared to be a whim, she destroyed Gate Five's business and drove 70 people into unemployment, the week before Christmas." The game was due out this November, but the project went bust when
The summons alsoclaims that her demands were "so unscrupulous that her then manager (who is also her father) renounced them." Not sure how that will help anyone's cause, as Beyonce has since severed all managerial ties with her father Matthew Knowles. And, according to one source familiar with the split, Matthew and Beyonce are "borderline estranged" even on a personal level.


Obama aomboleza maafa ya Alabama

Alabama
        Mamia ya watu wamefariki baada ya vimbunga vikali kupiga kusini mwa Marekani
Rais Barack Obama amesema serikali yake itafanya kila juhudi kusaidia wakaazi wa jimbo la Alabama kufuatia athari za dhoruba kali na kimbunga.
       Zaidi ya watu 280 wameuawa na uharibifu mkubwa umefanyika katika jimbo hilo la kusini mwa Marekani.
Serikali imetangaza hali ya hatari katika eneo hilo ambako watu wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao.
       Maafa na uharibifu pia yametokea katika majimbo ya Tennessee, Mississippi, Georgia na Virginia.
       Rais Obama amesema ataelekea Alabama kuugana na familia za walioathirika na makundi yanayotoa misaada ya dharura kwa wakaazi wa eneo hilo.
       Shirika la kitaifa la kutabiri hali ya hewa nchini Marekani, limesema eneo hilo la kusini mwa marekani limepigwa na msururu wa vimbunga 300 tangu ijumaa wiki iliopita. Vimbunga venye nguvu zaidi vilipiga jumatano wiki hii.
       Kufikia jana zaidi ya watu milioni moja walikuwa hawana huduma za umeme.
Wanajeshi 2,000 wametumwa kusaidia katika harakati za uokozi.


MTANGAZAJI WA EATV AULA BIG BROTHER..!!
Mtangazaji Maarufu wa Kipindi cha 5Connet cha EATV,Bhoke Egina ndiye mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Africa inayotarajiwa kuanza Jumapili ya tarehe 1 May 2011,Na mwaka huu litaitwa Big Brother - Amplified (Season 6),na 14 Housemates watakaa mjengoni kwa siku 91 na mshindi kuibuka na zawadi ya dola 200 000 za kimarekani.
 

Harusi ya Kifalme - Live

Mwana mfalme wa Uingereza, Prince William na Kate Middleton wamefunga ndoa katika kanisa la Westminster Abbey jijini London.
Takriban wageni 1,900 walishuhudia tukio hilo ndani ya kanisa, na mamilioni wakifuatilia majumbani mwao kwanjia ya televisheni.

Prince William kisses his wife Kate, Duchess of Cambridge on the balcony of Buckingham Palace. (AP Photo/Matt Dunham)

A small section of Prince William and his wife ...

 keki
Britains Queen Elizabeth travels to Buckingham ...
Queen Elizabeth 2
Beckhams lead celebrity presence at royal wedding
Victoria Beckham na mumewe David 
Mwana mfalme William akifungishwa ndoa na Aksofu Rowan William katika kanisa la Westminster Abbey jijini London.
Maharusi hao walishangiliwa na maelfu ya watu waliojipanga barabarani kuelekea kasri ya Buckingham Palace ambako Malkia amewaandalia karamu wageni 650.
Wana ndoa hao wapya walitumia gari liliovutwa na farasi la muundo wa mwaka 1902 ambalo lilitumiwa na wazazi wake Prince William wakati wa ndoa yao mwaka 1981.
Maharusi hao baadaye walijitokeza kwenye roshani ya kasri ya Buckingham na kuwasalimu maelfu ya watu waliokwenda kuwasherehekea.
Baada ya kulishana viapo vya ndoa Askofu mkuu wa Canterbury, Rowan Williams, aliwanadi rasmi kuwa "mume na mke".
Kuanzia sasa maharusi hawa watajulikana rasmi kama Duke na Duchess wa Cambridge.


Sophia Brown Launches New Merchandise Line

sophia_brown_merchandise_reggae_singer_jamaica.jpgAs if the sweet heart songstress of reggae Sophia Brown was not already busy preparing for the release of her sophomore album "Catch Me if You Can" which is due out in a couple of months, a new business venture is now on the horizon as Brown begins promotion of her new and exclusive line on brand name merchandise.
       The line "Sophia Brown" will offer a wide range of memorabilia products which include T Shirts, Jewelry, Clocks, Calendars, Blankets, Key Chains, License Plate Frames, Greeting Cards, Yoga Mats, Cell Phone Cases, Tracksuits, Pajamas, Cups Mugs and Thermos Coolers.
      According to Brown the idea for the line presented itself in 2010. "I first thought about starting a merchandise line around a year ago when I started getting more recognition internationally. It was a move that would allow my fans to enjoy more of who I am as an artist.
      Since then the whole idea started to manifest and I am proud to finally unveil what we have been working on".MIMBA YA MARIA CARY YAENDELEA KUMPA SHIDA!!
Maria cary akiwa na mumewe Nick kanoon wakisaidiana kulea mimba hiyo ya mapacha.
BIG BROTHER YAANZA KUUNGURUMA MAY MOSI

Another exciting new development this season is that Sunday's Launch Show will be going multi-media!
There will be live streaming of the two-hour opening on the official website at no cost, marking the first time in the history of the African series that this has happened!
And for audiences who log on early, there’s a special 15 minute pre-show exclusive to online audiences that begins at 18:45 CAT on Sunday 1 May
Bhoke
Age 26
Hometown Dar es Salaam, TANZANIA
Occupation TV Broadcaster
Confidence
Age 37
Hometown Accra, GHANA
Occupation CEO of MultiMedia Company / Aphrodisiac Nightclub
Hanni
Age 22
Hometown Addis Ababa, ETHIOPIA.
Occupation Singer and Student
Herminio
Age 32
Hometown Maputo, MOZAMBIQUE
Occupation Rapper and Radio Host
Jossy
Age 28
Hometown Windhoek, NAMIBIA.
Occupation Recording Artist / Marketing,Sales and Ad Manager
Lomwe
Age 27
Hometown Blantyre, MALAWI
Occupation Radio and Club DJ
Luclay
Age 28
Hometown Cape Town, SOUTH AFRICA
Occupation Actor / Acting Coach
Millicent
Age 28
Hometown Nairobi, KENYA.
Occupation Actress
Mumba
Age 24
Hometown Lusaka, ZAMBIA
Occupation Radio DJ
Sharon
Age 25
Hometown Kampala, UGANDA
Occupation Artist / Musician
Vimbai
Age 24
Hometown Harare, ZIMBABWE
Occupation Model
Vina
Age 26
Hometown Lagos, NIGERIA
Occupation Radio Presenter
Weza
Age 26
Hometown Luanda ANGOLA
Occupation TV Presenter, Model
Zeus
Age 24
Hometown Gaborone, BOTSWANA
Occupation Entrepreneur, Artist, Marketer

No comments: