Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, April 20, 2011

HAYA NDIYO ANAYOYAKIMBILIA PETER MSECHU BBA?

    washiriki wa BBA 2007 wakiwa katika hali ya mihemuko dhahiri,ni moja ya viburudisho muhimu wakiwa jumbani.
  peter msechu nae anataka malavidav haya?



WALIOMWAGWA CCM WAPEWA MAGARI
      KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusuf Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Philip Mangula, wamezawadiwa mashangingi mapya, aina ya V8,
   Habari ambazo gazeti hili imezipata, zimesema kuwa magari hayo yametolewa na chama kwa watendaji hao wastaafu ili kuuenzi mchango wao.
        Wakati Makamba akiwa ameachiwa gari jipya alilokuwa akilitumia, Mangula amepewa gari jipya kabisa.
Mbali ya Mangula na Makamba, Makatibu wa NEC kwenye sekretarieti nao wamepewa mashangingi mapya aina ya V8.
      Habari zinasema kuwa mashangingi hayo ndiyo yaliyotumika wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
Mbali ya Katibu Mkuu, Willison Mkama na Naibu wake, John Chiligati, wengine waliopewa magari hayo kwa ajili ya shughuli zao za kuimarisha chama ni Nape Nnauye (Itikadi na Uenezi), Januari Makamba (Siasa na Mambo ya Nje) na Lameck Mwigullu Mchemba (Uchumi na Fedha).
       Akizungumzia hali hiyo, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kuwa huo ni utaratibu wa kawaida kwa chama kuwaenzi watendaji wake.
      “Ni utararibu wa kawaida wa chama. Hata Mangula alipoondoka, gari alilokuwa akilitumia alikabidhiwa, lakini sasa limeharibika na chama kimeamua kumpa lingine, Makamba naye ameachiwa gari alilokuwa akilitunia,” alisema Nape.
     Mangula ambaye alienguliwa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu, alitumikia nafasi hiyo kwa muda wa miaka kumi chini ya mwenyekiti wake, Rais mstaafu, Benjamin Mkapa.
    Nafasi ya Mangula ilichukuliwa na Luteni Makamba ambaye ameitumikia nafasi hiyo kwa miaka sita hadi wiki iliyopita nafasi yake ilipochukuliwa na Mukama...na tanzania daima.


 JK AKIJIKUMBUSHIA ENZI ZA UJANA WAKE AKIWA SHULE
   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma muda mfupi baada ya kuwasili katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski kuhudhuria kikao cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika jana jijini Dar es Salaam.Pembeni ya Rais ni wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Burundi


EXCLUSIVE: Shawty Lo Back together, and his baby mama, Ecreia,

EXCLUSIVE: Shawty Lo Back together, and his baby mama, Ecreia,
Yesterday I got back to Shawty Lo only in conjunction with his baby mama, Ecreia Perez, which if you recall, ran afoul of laws that the rapper recently in October, when he was caught carrying loaded handgun Atlanta-käräjä account.
EXCLUSIVE: Shawty Lo Back together, and his baby mama, Ecreia,Shawty Lo, my sources, 35, dumped on the Ecreia, the last 28 years, he discovered that he was cheating on him with the d-boy on the Boulevard. Ecreia was in fact the date of the Court of Justice in his lover, last June, when he was arrested for carrying out the pistol and the weapon is available for download from the sit her purse seining for lighter masked.
         You might also recall that before he dumped Ecreia, his daughter, in conjunction with the proposed Shawty and 10 years. But all went out the window, when his sons were the wind Ecreia’s leisure activities.
I am told that the actual name of Carlos Shawyty, Walker, is a little too sensitive, and he was unable to take his teasing his crew constantly girlfriend about the item. So he went back to the local rapper Jai Jai, whom he met when he was only 16.
       Carlos “Something happened that I found,” said in an interview with MTV. “For me, being a man, you just can’t deal with the certain goods resulting from the sale of certain merchandise. So, you know, it is better to separate us. I can’t talk about it. That my daughter’s mother. I got a lot to her. … (But) Yeah, I have one right now. “
      My source tells me that Carlos and Ecreia together in the Studio making beautiful music when working on his next album, Shawty. Shawty’s rampant rumors about cheating, even though they are back together for the benefit of children. Carlos has 9 Other existing connections to the children.
Remember where you heard it first!
Related posts:
      Shawty Lo’s Baby Mama were arrested for Gun CourthouseShawty Finally, proposes a long-term part of Cp GF & Baby Mama, Shawty Lo CreiaSource: was the plight?Shawty Lo is the official health certificate StatementSwizz Beatz Baby Mama speaks.


TANGAZO 

JIUNGE NAMI KWENYE FACEBOOK NIKUTUMIE HABARI HIZI ZOTE POPOTE ULIPO KWA NJIA YA SIMU,LAPTOP AMA ENTERNET BUREEEEEEEE........ ADD ME   MAGESE UNIQUE KWENYE FACEBOOK YAKO SASA...



MASANJA AKUTWA AKIUBIRI INJILI KWA RAHA ZAKE

    
      MUIGIZAJI ‘Brazameni’ wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ (pichani) Aprili 17 mwaka huu alibambwa nje ya Uwanja wa Karume, Ilala jijini Dar es Salaam akihubiri Injili laivu na Askofu wake Bruno Mwakibolwa, Risasi Mchanganyiko lina ripoti kamili.

      Tukio hilo la aina yake lilinaswa na paparazi wetu pande hizo ambako kulikuwa na mahubiri ya kufikikisha ujumbe kwa waumini waliokuwa wakipita katika eneo hilo.
Msanii huyo alionekana akiwa mstari wa mbele na kuwafanya baadhi ya wapita njia kuacha shughuli zao na kusogea eneo hilo kusikiliza neno alilokuwa akilitoa.

       Askofu Mwakibolwa, alisikika akimnadi Masanja kuwa ni mchungaji mtarajiwa na kuwataka watu wajue neno la Mungu lina nguvu kubwa na kwamba yeyote anaweza kuwa nabii endapo ataliamini na kulifikisha kwa wakati husika.

     “Ndugu zangu naomba muelewe kuwa Masanja kwa sasa ni mtumishi wa Mungu na hapa tumetoka naye kubatiza baadhi ya waumini wa dhehebu letu kwa hiyo ni mchungaji mtarajiwa ambaye atasimikwa hivi karibuni,” alisema Askofu Mwakibolwa.



Rihanna’s Stalker leak Topless Pics, itself


         A woman who claims she had an intimate relationship with the pop star Rihanna is the resulting heat leaking Topless pictures, according to him the pics that chris brown leaked Rihanna last year mimicking.


        For some reason this is news! Now that the media is providing the credibility of this loony woman, as if his accusations against Rihanna have proved to be true. I am the only one who can see through this chick? Broad has yet to release the hard evidence, such as emails, text messages, etc. to check for this connection.


       What we do know that he is in the address book to share and promote the most desperately needs in advance, he, if he wants to sell more than 5 copies of his friends and family.


             Now he has leaked Topless photos, and the national media has released them. Unbelievable!
They say the words and actions speak aloud that imitation is the best imartelu.

And these saucy images of Rihanna’s alleged Natasha tajah ‘ Burton ‘ are you sure you want to appear to suggest the socialite is a big fan of this singer Lesbian fling.

This is a must-see Tajah Topless in his bathroom mimicking Rihanna has the same provocative poses, sex photos that appeared in the text on the Web in a few days ago.

Burton has so far refused to confirm if the Rihanna is in fact a star, he shared with the höyryävän face – even if he does not deny it, either.

A source told the MailOnline Tajah near he took pictures of him in the last couple of days “,” mobile phone before they were mysteriously leaked onto the same website, which will be published on the Rihanna’s saucy inside or on the go.


THE NEXT DIDDY?
Looks like Diddy's son Christian is next up... and his rap name is C3.

Here is Diddy bringing out his son.

No comments: