Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, April 13, 2011

      OUTTARA APIA KULETA AMANI NA MSHIKAMANO IVORY COAST

Rais mpya wa Ivory Coast Alassane Ouattara amesema pande zote zilizohusika katika ghasia lazima zishtakiwe.
Alisema ataiomba mahakama ya kimataifa ya uhalifu kufanya uchunguzi juu ya mauaji ambapo majeshi yake na ya mpinzani wake Laurent Gbagbo yanahisiwa kuhusika.

Bw Alassane Ouattara
              Bw Gbagbo alikamatwa siku ya Jumatatu na majeshi ya Bw Ouattara baada ya kukataa kuwa alishindwa kwenye uchaguzi wa mwezi Novemba.
             Bw Ouattara alisema, sasa atakabiliwa na mashtaka "katika kiwango cha kitaifa na cha kimataifa."
Katika mkutano uliofanyika kwenye mji wa kibiashara wa Abidjan, Bw Ouattara alisema Bw Gbagbo amepelekwa eneo salama.


SUMALEE Vs CPWA BIFU LAJIRUDIA TENA 

          Siku za karibuni tulimskia cp wakati wa uzinduzi wa album yake akitangaza kuwa yeye na Suma lee wamerudi pamoja na kurudisha kundi kama Parklane lakini baada ya kupiga show ya uzinduzi na Cp kwenye uzinduzi wake, leo Sumalee ametoa mpya baada ya kudai kuwa Cp hajamlipa pesa zake zote badala yake alimpatia nusu na kudai kuwa show haijafanya poa yaani haikumlipa, "kwanza alidanganya kuwa parcklane itarudi lakini sio kweli, parklane irudi kwenye uzinduzi wake tu?.
   "Mwambieni kuwa hizo pesa alizonidhulumu kama ye anaona ni kidogo mi zinanitosha kwa kilo mbili za gomba"  alimesema Sumalee 

Nchi za kimataifa zataka Gaddafi aondoke


Muungano wa nchi zinazoijadili Libya
          Muungano mpya wa nchi za kimataifa zinazompinga Kanali Muammar Gaddafi zimetoa wito wa kutaka kiongozi huyo aachie madaraka.
         Umesema kuendelea kuwepo kwake kunatishia makubaliano yeyote yanayotarajiwa kufikiwa juu ya mgogoro nchini humo, na Walibya waruhusiwe kuamua wanayoyataka siku za usoni.
Wito huo umetolewa katika kauli ya mwisho iliyosomwa na mrithi wa kiti cha kifalme cha Qatar katika mkutano unaohusu Libya huko Doha.
        Waasi wanaojaribu kumpindua Kanali Gaddafi wameshiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano huo wenye hadhi ya juu wa kidiplomasia.
        Muungano huo pia ulikubali kuendelea kuwapa waasi "vifaa"- maneno yanaoelezwa na mwandishi wa BBC Jon Leyne kuwa na utata-na pia wanafikiria kuwafadhili.
         Awali, wajumbe waliambiwa na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuwa zaidi ya nusu ya jumla ya watu wa Libya ambao ni milioni sita huenda wakahitaji kupata msaada.
"          Muungano" huo uliundwa katika mkutano wa kimataifa wa mawaziri mjini London Machi 29 yakiwemo mataifa ya Ulaya, Marekani, washirika wa Mashariki ya kati na mashirika mengine ya kimataifa.

Real Madrid kukutana na Barcelona

Real Madrid itakutana na Barcelona katika nusu fainali ya klabu bingwa Ulaya baada ya kuizaba Tottenham Hotspur kwa bao moja kwa sifuri kwenye uwanja wa White Hart Lane.
Mourinho
Jose Mourinho, kocha wa Real
Bao pekee la Ronaldo liliizamisha Spurs huku Real ikisonga mbele kwa jumla ya mabao 5-0.
Inter Milan nayo iliyaaga mashindano hayo baada ya kuzabwa mabao 2-1 na Schalke 04. Schalke inasonga mbele kwa jumla ya mabao 7-3.
Schalke sasa itakutana na Manchester United katika nusu fainali. United ilitinga nusu fainali baada ya kuinyuka Chelsea kwa jumla ya mabao 3-1.


Tujikumbushe......hahari ndiyo hiyo

shanga nje nje mtu mzima


             TEYANA TAYLOR MATATANI KWA KUJERUHI MWANAMKE MWENZAKE
yum, yum
        Socialite Teyana Taylor was reportedly involved in a physical altercation that took place at a recording studio in Burbank, California on Saturday night. According to local police, Taylor was present at the studio when another woman allegedly made a comment about Taylor's close friend, Chris Brown. The 20-year-old former star of MTV's My Super Sweet 16 apparently din't take too kindly to the comment and lost her temper.
          Taylor allegedly punched the other woman in the face several times, knocking her down to the floor. It was reported that the former flame of NBA Baller Brandon Jennings continued her violent outburst by kicking the other woman in the stomach, chest and head. The recipient of the beat down was left with multiple scrapes and bruises.
           When authorities arrived to the scene, Taylor had already vacated the premisses. Police are investigating the incident further. So far no one has come forward to press charges against Taylor.

No comments: