WACHEZAJI WA TENIS WAJIFUA KWA AJILI YA MICHUANO YA VIJANA
Kocha wa mchezo wa Tenis, Ismail Omari akiwaelekeza wachezaji Joyria Ismail na Srah Bura wakati wa mazoezi leo. Mchezaji wa Tenesi Joyriia Ismail akipiga mpira wakati wa mazoezi leo. Mchezaji wa Tenis Sarah Bura akipiga mpira.
No comments:
Post a Comment