Mrembo Lucy Charles akitabasamu baada ya kuvikwa taji la Redd's miss Kanda ya Ziwa usiku wa jana.

Kinyanganyiro
cha kumtafuta mnyange wa Kanda ya Ziwa kwa mwaka 2013, kimeteguliwa
usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest baada ya Mrembo Lucy
Charles msomi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino, kuwabwaga warembo
wengine 17 waliojitokeza.
Vinara
watatu .katikati ni Lucy Charles mshindi wa Redd's miss Lake zone 2013,
kulia ni Eshe Rashid kutoka Mara na kushoto ni Salsha Isdore kutoka
Geita na wote watatu wanaenda ngazi ya taifa.
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga
Mashidonge- akicheza na Moto kwenye ukumbi huu wa Gold Grest Hotel
Miss Talent naye akuwa Nyuma Babylove Kalalaa akaanza kuonesha vitu vyake ...kipanji toka moyoni.
Babylove Kalalaa akiwa na nyoka wake jukwaani kuwapagawisha mashabiki wake.
matukio ..tunachukua na sisi...
Kiongozi wa BHATT ELECTONICS LTD Akiteta baada ya kuchagua warembo na
kuwapatia kazi kwenye ofisi zao. Kumbuka BHATT ni wakala wa Samsung.
P
...Omama yoyo!!
wewe tu ...nipe tano kwanza!!
kamata kitita chako Mrembo!!!
ushindi mtamu jamaniiii!
No comments:
Post a Comment