Moto huo
uliozuka kutokana na shoti ya umememe ulisambaa ndani ya nyumba hii
ambapo gari la zimamoto liliwahi katika eneo la tukio na kuanza kazi ya
kuzima moto huo. Hadi sasa haijaweza kufahamika hasara iliyotokana na
moto huo, uliowaka maeneo ya Kariakoo leo mchana.
Shoti ya umeme ilianzia hapa katika nguzo hizi ambapo cheche za moto ziliweza kusambaa.
Na sufiani
No comments:
Post a Comment