Hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams kupitia ukurasa wake wa
INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika kama " Bikini wedding crasher!" na nyingine akaiandika kama "Wedding crasher!! Congrats"
akionekana amevalia kingua cha kuogea ....Tukio hilo lilitokea Jumamosi
iliyopita , Meam Beach. ambapo Serena alikuwa aki balizi maeneo ya
BICHI ..then Maharusi walikuwa wakipiga picha ...walivyo muona
wakamuita na kupiganaye picha...
Kwa mujibu wa vyombo vya UDAKU inasemakana Serana na maharusi hao walifurahia tukio hilo...
No comments:
Post a Comment