Engineer 
Deusdedit Malulu akiwa na mke wake kipenzi Doris Joseph Malulu, kwa pamoja 
wakiwa na nyuso za furaha baada ya  kufunga ndoa Takatifu jana katika kanisa la 
Roman Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara.
Engineer 
Deusdedit Malulu akimvisha pete ya ndoa mke wake mpenzi Doris Kasaka aliyefunga 
nae ndoa takatifu jana.
Familia 
ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris 
Kasaka Malulu na Engineer Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana 
jioni.
Maharusi 
kwa nyuso za furaha wakipiga picha na Mtoto wao.
Engineer 
Deusdedit Malulu na Mkewe Doris wakikata Keki kwa pamoja kuonyesha kuonyesha 
ishara ya umoja na mapendo.
Meza 
kuu ya Familia ya Engineer Deusdedit Malulu 
Meza 
kuu ya Wazazi wa Doris Kasaka.
Engineer 
Deusdedit Malulu na Doris Kasaka walifunga ndoa takatifu katika kanisa la 
Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara jana Tarehe 30/06/2012 na baadae kwenye 
Sherehe ya nguvu iliyofanyka katika ukumbi wa Luxery Mbezi Mwisho. 
Bwana 
harusi ni Mfanyakazi wa Shirika la ugavi wa Umeme (TANESCO) Makao Makuu na Bi 
Harusi ni mwajiriwa wa Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ZANTEL Dar es 
salaam.







No comments:
Post a Comment