| Bondia
 wa Tanzania,  Selemani  Kidunda (kulia) akiwa hoi baada ya kudundwa 
kirahisi kwa pointi 20-7 dhidi ya bondia wa Moldova, Vasilii 
Belous katika pambano la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye 
Ukumbi wa ExCeL 
katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012.  | 
No comments:
Post a Comment