Miss
 World Tanzania 2012, Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika
 Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es 
Salaam akieklekea nchini Nchina kushiriki shindano la Miss World 2012. 
Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo. 
 Lisa
 akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, 
Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga(hayupo pichani). 
 Lundenga akimsindikiza Lisa kwenda kukaguliwa tayari kwa safari ya nchini China. 
  
 Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International  Agency, 
Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na Afisa Habari wa
 Kamati ya  Miss Tanzania, Hidan Rico
  Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International  Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga
 
 Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International  Agency, 
Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na Mkuu wa Itifaki
 wa kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye.
Hashim Lundenga akisalimiana na mama mzazi wa Lisa Jensen wakati wa kumsindikiza mrembo huyo.
No comments:
Post a Comment