
Hizi
 picha zimepigwa na mtu tu ambae alishtukia Beyounce na mwanae wakifanya
 shopping mbele yake, akazipiga na kutweet… Blue Ivy kakua.
 

Ni miezi kadhaa toka mara ya mwisho dunia ilipomuona Blue Ivy kwa uwazi kiasi hiki.
 

Hizi
 ni picha ambazo zilitolewa bure na Beyonce na Jay Z miezi kadhaa 
iliyopita zikimuonyesha mtoto wao ambae wengi tulidhani wangeuza kwa 
mamilioni ya dola picha za mtoto wao kama walivyofanya mastaa wengine 
ikiwemo J.Lo!
 
 
No comments:
Post a Comment