Mke
wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama katikati akizungumza katika
mkutano wa African First Ladies Summit 2013 ulioanza leo kwenye hoteli
ya Serena jijini Dar es salaam huku ukihudhuriwa na Rais Mstaafu wa
Marekani Rais George Bush na Mke wake Raula Bush, ambao umedhaminiwa na
taasisi ya George W. Bush Institute ya Marekani, mkutano huo
umeshirikisha wake wa marais kutoka nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo
Afrika Kusini, Msumbiji, Burundi, DRC Congo, Rwanda, Uganda, Zambia
,Malawi ,Somalia na zingine, Kushoto ni Mama Raula Bush na kulia ni
muongozaji wa majadiliano hayo.
Raula Bush mke wa rais mstaafu wa marekani George Bush akizungumza
katika mkutano huo katikati ni Mama Michelle Obama Mke wa Rais Barack
Obama na kulia ni muongozaji wa majadiliano hayo Raula Bush mke wa rais mstaafu wa marekani George Bush akizungumza katika mkutano huo Mama Salma Kikwete Mke wa Rais Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika mkutao huo. Rais
Jakaya Kikwete akusoma hotuba yake katika mkutano huo wakati
akiwakaribisha Michelle Obama mke wa rais Obama , George Bush na Mke
wake Raula pamoja na wageni waalikwa walioshiriki katika mkutano huo. Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mjadala wa mkutano huo Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mjadala wa mkutano huo.
Na fullshangwe
No comments:
Post a Comment