Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Wednesday, July 17, 2013

MR.BLUE ATOROKA HOTELI HOTELINI KUKWEPA DENI LA ELFU 40

   Kupitia U heard ya clouds fm hapo jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000.
 inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa

No comments: