Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka
kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywele zake amabozo anakuwa
amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini
kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo, nywele
zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini
ikashindikana.

Roy alianza vizuri

Hapa ndio baada ya nywele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua

Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta

Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele
No comments:
Post a Comment