Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, July 11, 2013

MJIUPARA WA WEMA SEPETU NDANI YA REALITY TV SHOW

  Picturef
Msanii mwenye vituko kila kukicha Wema Isack Sepetu ambaye hivi punde ataanza kuonekana kwenye reality Tv show yake, amekuwa akibadilisha muonekano wake mara kadhaa sasa. Sasa hivi Wema amepata muonekano tofauti kabisa ambao haujajulikana labda ni kwa ajili ya uandaaji wa movie au kipindi cha TV. hahaaha hapa ni full kabichwa...haya sasa sepetuka kiivyo shabiki wake na wema.

No comments: