
Tunapenda
kutoa pole kwa familia ya Marehemu Mama Majanjara, ndugu , jamaa na
mwarafiki wote. Mugu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. R.I.P Mama
yetu mpendwa.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule akitoa heshima za mwisho
kwa Mwili wa Marehem,u Mamayake aliyefariki dunia hivi karibuni kwa
ajali ya gari Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. Mazishi yanafanyika
jioni hii Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam. Zoezi hilo lililofanyika
nyumbani kwa Mwanae, lilihudhuriwa pia na wasanii mbalimbali wakiwepo
wanasiasa.

No comments:
Post a Comment